Diamond ni mfano Mzuri wa Kiongozi na Boss Mwema

Mh jamani basii km ugomvi vile km unaona hayakuhusu au hayana umuhim na ww si ukae kimya tu kuliko hayo maneno magum mnayompa mwenzenu!!

Ukishaleta humu maana yke yameshakushinda kuweka moyoni kwahyo umeyaamua kuyabwaga.
 
Mdogo wangu una moyo jasiri sana, JF unakejeliwa Instagram unatukanwa lakini hukati tamaa! Nakushauri usitoe thread kwanza ila uwe mchangiaji tu, upumzike kidogo.
 
Aisee lusungo siku hizi we nomaa haya makavu duu uuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu una moyo jasiri sana, JF unakejeliwa Instagram unatukanwa lakini hukati tamaa! Nakushauri usitoe thread kwanza ila uwe mchangiaji tu, upumzike kidogo.

Anahitaji tuzo ya uvumilivu na ujasirii jamii wamfikirieee banaa sidhan kama jamaa ashawah kupelekwaa kaselo ketu!!!!!
 
Matola......coment yako ni more than words. I swear
 


Duh! Sijawahi kuona mtu anayejua ku-kiss a.s kama wewe. Diamond must very proud of you.
 
Hawa dawa yao ni kuwapa makavu tu...

Anafikiri kila mtu simple mind kama yeye....

Jamani nadhani kama alivyosema mwenywe,mi naona kama kuna watu wakiona jina la mtu fulani basi moyo huanza kukereka. Mi nadhani kuna funzo hapo ndio nia ya mleta mada, Kuwa ukiwa kiongozi usiwakanyage waongozwaji kichwani! Ukiwa kiongozi hakikisha unaowaongoza nao wanapiga hatua. Ukiwa unapesa usisahau utu.

Kwa ujumla mimi huwa naangalia mavazi ya Diamond na wacheza dansi wake, najifunza kitufulani hapo, maana huwa naona Quality huwa ni sawa labda tofauti huwa rangi tu.
Jamani nadhani tusiangalie mleta mada au muhusika kwenye mada bali ujumbe uliokusudiwa.
Nimevaa Helmet kujikinga na mawe yatakayovurumushwa. Ilimradi nimefikisha ujumbe.
 

Swali jepesi yatupasa nini sisi?
Hata ukija na id kumi tumeuli
 
Swali jepesi yatupasa nini sisi?
Hata ukija na id kumi tumeuli

ID Kumi maana yake nini? Umesoma lakini mwaka wa kujiunga? Mi sidhani kama inahitajiakili nyingi kutofautisha michango yangu na unayemfikiria!!! Watu wa aina yako badala yakujibu hojaunakimbilia ooh hata ukibadili ID
Chukua hilo fundisho ndio inatupasa sisi tufanye hivyo period!
 

Fundisho lipi?

Diamond hana hadhi ya kuwa boss au kiongozi wangu..

Hivi kwa akili yako umeekewa nini juu ya alichoandika mleta Mada?
 
Fundisho lipi?

Diamond hana hadhi ya kuwa boss au kiongozi wangu..

Hivi kwa akili yako umeekewa nini juu ya alichoandika mleta Mada?


He Mungu wangu nimepotea njia nini. Mleta mada wala mimi sijasema Diamond anaweza kuwa kiongozi wako au wa kila mtu. Hata mimi sitegemei saana Diamond kuwa kiongozi wangu kutokana na utafauiti wa field tulizonazo.Lakini hii hainizuii kujifunza kutoka na leadership style yake nikaitumia katika kuongoza kwangu kwani binadamu tunajifunza kila siku.
Ndio maana nikasema tatizo ni kutajwa Diamond angalia maudhui kijana povu lisikutoke. Alichozungumza kwa ufupi ni Leadership Skills/ style. Sahau kuhusu mleta hoja na muhusika ndani ya hoja think about Diamond leadership style in his context.
 

Diamond ana ubongo gani wa kunifunza leadership style Mimi?

Umekazana na povu mi siwezi tokwa povu kwa wajinga hata siku moja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…