Diamond ni mfano Mzuri wa Kiongozi na Boss Mwema

Diamond ni mfano Mzuri wa Kiongozi na Boss Mwema

umri siri ya mtu

acha bhana umri siri ya mtu wakati kuna uzi ulikuwa unahusu ma celeb wa bongo we ukatuambia umri wa bosi wako na ukadai cheti umekiona! kama ni siri kwann uliusema hadharani? pili hapo hujaambiwa utaje umri bali nani ni mkubwa kwani ukisema bosi ni mkubwa utakuwa umetaja umri?
 
Back
Top Bottom