Diamond ni mfano wa kuigwa

Nje ya box

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
241
Reaction score
251
Huyu kijana kanifurahisha sana hakusahau alipotoka baada ya kufanikiwa. Kajijenga kwa umri mdogo sana, pesa haijamsumbua kufanya ya walimwengu kwa umri mdogo alionao. Ameweza kuepuka na temptation nyingi za dunia na kufocus on what he needs.

Anaelewa kabisa kwenye hii industry unaweza kushuka haraka bila kutegemea kama wengi wanamuziki wa bongo akajua namna ya ku invest kwenye kujenga majumba na kuwa na ubia kwenye mashirika makubwa.

Ni wangapi wameshika hela kama Diamond na hawajaweza kufanya aliyoyafanya Diamond at that age.Diamond alikuwa na haki zote pamoja na umri wake kuwa mdogo na fame aliyoyanayo kulala kwenye maclubs, kupuliza, kubadilisha wanawake kama nguo .

Mwenye masikio atasikia na mwenye macho ataonaDiamond ni mfano wa kuigwa Sio tu kwa wasanii bali na Kwetu sisi. Huyo mtoto anaweza kuretire at 30 yrs na kula raha mpaka 75 kwa maisha ya kitanzani

Ni go getter na hard working

Big up boy
 
Peleka kichaa huko

Wivu tu ndio unaokusumbua, wewe ndio kichaa kuchukia maendeleo ya wenzenu. Ndio maana masikini, wewe hapo unanii
Eti namchukia Diamond kisa yeye ni CCM mtasubiri sana hayo mabadiliko kama Sisi wenyewe wananchi hatabadiliki
 
Dada Samahani umeshawahi kupasuliwa mayai mawili ya kuku wa kienyeji na kupakwa Colgate kwa juu ya huo mlango wako wa uani,kama bado endelea lkn kama tayari utaacha kunijibu
 
Dada Samahani umeshawahi kupasuliwa mayai mawili ya kuku wa kienyeji na kupakwa Colgate kwa juu ya huo mlango wako wa uani,kama bado endelea lkn kama tayari utaacha kunijibu
Utapasuliwa wewe kwanza achana na wivu wa kijinga. Maendeleo ndio unayoyataka ya kufuata Nguvu za Giza. Watz bado maendeleo sana kwanza jitambue kwanza na Sio kufuata mkumbuko hujui unachotaka
Eti unanitishia kisa hutaki kusikia maendeleo ya mtanzania mwenzio umeshindwa kumtoa hayo Mayai Diamond na chuki zako zote.
 
Utapasuliwa wewe kwanza achana na wivu wa kijinga fats maendelea na ujitambue Sio kufuata mkumbuko hujui unachotaka

Oohoo kumbe bado,jitayarishe namtuma juma akupitishie trei nzima ya mayai na Colgate kubwa, Bill ni juu yangu
 
Oohoo kumbe bado,jitayarishe namtuma juma akupitishie trei nzima ya mayai na Colgate kubwa, Bill ni juu yangu
Atakupitia wewe kwanza ndio aje Kwangu
Ndio maana watanzania maisha duni kabisa hamtaki kujituma na kufanya kazi kwa bidii mnasubiri maisha ya kubahatisha. Mtasubiri sana ndio maana nimeamua mwaka huu kutokuwa na Chama kwasababu tatizo haliko kwa raisi atakayechagulia tatizo liko kwa wananchi tujue kwanza nini tunahitaji na Sio kufuata mkumbo
 
Hahaha naona una matatizo wewe kuna sehem nimeongelea mambo ya vyama hapa,aisee naona juma amechelewa ngoja nimtume kaka jambazi akupitishie trei nzima ya mayai ya mbuni
 
Hahaha naona una matatizo wewe kuna sehem nimeongelea mambo ya vyama hapa,aisee naona juma amechelewa ngoja nimtume kaka jambazi akupitishie trei nzima ya mayai ya mbuni
Nayasubiri hayo Mayai nikutengenezee uyale wakati umelala ukiamka utakuwa umemkubali Daimond kuwa ni king of pop
 
Nayasubiri hayo Mayai nikutengenezee uyale wakati umelala ukiamka utakuwa umemkubali Daimond kuwa ni king of pop

Daah kumbe umelainika mapema hivi,no. Yako uliyoni pm ndo hii 0712.......44 sio dada?
 
Ni kwel mkuu, Diamond anastahili heshima zote ni mfano wa kuigwa kwa vijana wadogo na ndiye amewa inspire vijana wengi waone ni namna gani mziki unavyoweza kuwa biashara kubwa yenye faida kubwa pia.
 
Aisee..! Nje ya box nikupongeze tu kwa kuongea ukweli.
 
Last edited by a moderator:
diamond kwishney . utajili wa wanamuziki huwa haudumu aisee kamuulize 50 cent atakusimulia au Michael Tyson
 
Michael Tyson ni mwanamuziki.!" na mnataka mabadiliko.!!
diamond kwishney . utajili wa wanamuziki huwa haudumu aisee kamuulize 50 cent atakusimulia au Michael Tyson
 
Tatizo Sisi watz tunataka capitalism system na wengi hatuielewi. Diamond unamuona anavyojitahidi ku network na kuinvest. Nyie mnaona ametanganza hiyo NMB kumuweka mtoto wake, huyu kijana anielewa sana hii industry
Wewe unafikiri kina Mariah Carey, Jay Z, Kanye West, Mary J Blige mpaka leo wako hapo ni kwasababu ya hela ya muziki. Wameimvest kwenye big companies, wana share kwenye hao myskycrappers ya NY, LA
Nimeelwa kwanini Nyerere alitukadhania kwenye ujamaa akili zetu haziwezi Kabisa kuchangamya
 
Si akili yake pekee ni management aliyonayo.bila hivyo angekua walewale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…