Nje ya box
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 241
- 251
Huyu kijana kanifurahisha sana hakusahau alipotoka baada ya kufanikiwa. Kajijenga kwa umri mdogo sana, pesa haijamsumbua kufanya ya walimwengu kwa umri mdogo alionao. Ameweza kuepuka na temptation nyingi za dunia na kufocus on what he needs.
Anaelewa kabisa kwenye hii industry unaweza kushuka haraka bila kutegemea kama wengi wanamuziki wa bongo akajua namna ya ku invest kwenye kujenga majumba na kuwa na ubia kwenye mashirika makubwa.
Ni wangapi wameshika hela kama Diamond na hawajaweza kufanya aliyoyafanya Diamond at that age.Diamond alikuwa na haki zote pamoja na umri wake kuwa mdogo na fame aliyoyanayo kulala kwenye maclubs, kupuliza, kubadilisha wanawake kama nguo .
Mwenye masikio atasikia na mwenye macho ataonaDiamond ni mfano wa kuigwa Sio tu kwa wasanii bali na Kwetu sisi. Huyo mtoto anaweza kuretire at 30 yrs na kula raha mpaka 75 kwa maisha ya kitanzani
Ni go getter na hard working
Big up boy