Diamond ni uwezo pekee au...!

alikiba keshafanya sana hizi sema hapendi show off
utafanyaje show bila show off?... yaani nyie maboya mnalazimisha Ali Kiba afanane na Mondi lakini imeshindikana....sasa hata dada wa Taifa kalazimisha wee mpaka kachoka kabisa.....ni sawa na kumlinganisha Kagere na Ronaldo/Messi....kwa WCB analinganishwa na LavaLava au Mbosso
 
Mtapiga promo sana lakini "KIBAKULI" atabaki juu kileleni! yeye hataki show offs lakini bado anahit
 
Diamond kafanya mambo ambayo yatachukuwa muda mrefu sana kuja kufanywa na msanii mwingine wa hapa Tz.
Wenzie wanaona gere baada ya ramli kufeli na wanahisi dogo hana talanta kubwa kuwazidi ila anatusua so wameishia kumzira tu huku moyoni anawakereketa.
 
Mtapiga promo sana lakini "KIBAKULI" atabaki juu kileleni! yeye hataki show offs lakini bado anahit
Yaani kiba100 angekuwa na uwezo angekimbia nchi au angeomba poo manake jammaa wanamburuza mpaka aibu...ila mna moyo sana washabiki wake......hit song yake latest ni ipi?
 
Pepsi na Bellaire zinampa nguvu zaidi...... Kwa akili zangu za mchana
 
alikiba keshafanya sana hizi sema hapendi show off

Hacha basi kuwa mnalinganisha Diamond na vitu vya hovyoo mkuu,Alikiba kaafanya wapi shoo walau mbili kwa sehemu mbili tofauti kwa siku moja walau kwa mkoa moja tu na sio nchi, na lini?...Domo yuko poa Jamaa yangu tumpe heshima yake tuache chuki.Mana Alikiba hawezi mfikia Tena labda Konde boy nae kwa mbali sana.
 
So long as there is money involved people are ready to do anything. Sio yeye tu, hata wewe ukilipwa unaweza.!
 
Yaani kiba100 angekuwa na uwezo angekimbia nchi au angeomba poo manake jammaa wanamburuza mpaka aibu...ila mna moyo sana washabiki wake......hit song yake latest ni ipi?
Mbio by Alikiba
 
Kamanda unaniota? Hahahaha kamwe situmii id mbili Mimi sio haya kumsifia diamond kwa kuanzisha uzi siwezi jificha kamwe! Diamond ni chaguo la Mungu
Mungu yupi unayemzungumzia? Mungu amchague mtu kukata viuno stejini na wanawake walio nusu uchi? Mungu achague mtu kuwaimbia walevi? Hayo anayoyafanya Diamond,Je dini yake/Imani yake inayaruhusu?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
xa unamshangaa diamond akat wanga wanakexha karibu kila cku na asubuh hawalali wapo busy2... huyu jamaa anajua anachofanya anatengeneza hexhma yake binafsi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…