Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutompongeza wewe haipunguzii chochote na haimzuii kupata show kila siku.Shows zenyewe za kuimbi nyum ya cd.. Afanye na live band ndio tutampongezaa
utafanyaje show bila show off?... yaani nyie maboya mnalazimisha Ali Kiba afanane na Mondi lakini imeshindikana....sasa hata dada wa Taifa kalazimisha wee mpaka kachoka kabisa.....ni sawa na kumlinganisha Kagere na Ronaldo/Messi....kwa WCB analinganishwa na LavaLava au Mbossoalikiba keshafanya sana hizi sema hapendi show off
Kama Kiba100?Shows zenyewe za kuimbi nyum ya cd.. Afanye na live band ndio tutampongezaa
😂😂😂unamaanisha mini mkuu!?Kwenye ndoto zake
Kazifanya wapi? Mombasa kwa joho au Dubai kwa mkewe. .. mamanake tu humu nchini atujamwona zaidi ya ubishoo. Kazi hakuna, Sasa kumsifia joho wa mombasaalikiba keshafanya sana hizi sema hapendi show off
akikusikia nawe atakuzalishaAwe ana pumzika bado tunampenda
Wenzie wanaona gere baada ya ramli kufeli na wanahisi dogo hana talanta kubwa kuwazidi ila anatusua so wameishia kumzira tu huku moyoni anawakereketa.Diamond kafanya mambo ambayo yatachukuwa muda mrefu sana kuja kufanywa na msanii mwingine wa hapa Tz.
Yaani kiba100 angekuwa na uwezo angekimbia nchi au angeomba poo manake jammaa wanamburuza mpaka aibu...ila mna moyo sana washabiki wake......hit song yake latest ni ipi?Mtapiga promo sana lakini "KIBAKULI" atabaki juu kileleni! yeye hataki show offs lakini bado anahit
alikiba keshafanya sana hizi sema hapendi show off
Mbio by AlikibaYaani kiba100 angekuwa na uwezo angekimbia nchi au angeomba poo manake jammaa wanamburuza mpaka aibu...ila mna moyo sana washabiki wake......hit song yake latest ni ipi?
Mungu yupi unayemzungumzia? Mungu amchague mtu kukata viuno stejini na wanawake walio nusu uchi? Mungu achague mtu kuwaimbia walevi? Hayo anayoyafanya Diamond,Je dini yake/Imani yake inayaruhusu?Kamanda unaniota? Hahahaha kamwe situmii id mbili Mimi sio haya kumsifia diamond kwa kuanzisha uzi siwezi jificha kamwe! Diamond ni chaguo la Mungu
xa unamshangaa diamond akat wanga wanakexha karibu kila cku na asubuh hawalali wapo busy2... huyu jamaa anajua anachofanya anatengeneza hexhma yake binafsi...
ila wao si hawaimbi na kucheza wanatembea tu?