Diamond ni uwezo pekee au...!

Sema mzee baba ujui Hilo kauli Ina maana gani huyo mwenzako anamkejeri kiba Kama ujui hapa imeingia Chaka na hao wote wanaosema hivyo ni fans wa diamond
 
Usiamini kila usikiacho
 
Watu tunatofautiana, me napenda msanii aweke play-back ili muda mwingi pale stejini atumie kucheza. Maana kama kusikikiza hizo ngoma nazisikiliza kila siku, naenda kwenye show zake kupata kitu tofauti. Kuimba huku anadance naona kama concentration inapungua vile, sasa bora atumie play-back apate uhuru wa kushambulia jukwaa kwa fujo.
 
Ahaaaah ndo maana watu awajalike li comment lako maana nilakijinga eboooooh
 
Fid Q kapiga show moja la balaa uzinduzi wa album yake ya kitaolojia, amepiga kwa live band sauti inasikika vizuri hakuna cha mikono juu, say yeeeeh yeeeeh. Nilikua sijamfaham vizuri na mwingine ni Christian Bella
Hao ma underground ndo unatutajia hapa ahaaaah
 
Alikiba alishawahi kupiga show nchi sita mfululizo sema huwa hapendi makuu
 

Watanzania ni wavivu ila hakuna kinachoshindikana, kuna watu wanapasua mawe 12hrs a day kwa mwaka mzima, na mzigo usiku wanapiga fresh, wanatumia mbinu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…