Diamond ni uwezo pekee au...!

Diamond ni uwezo pekee au...!

Hacha basi kuwa mnalinganisha Diamond na vitu vya hovyoo mkuu,Alikiba kaafanya wapi shoo walau mbili kwa sehemu mbili tofauti kwa siku moja walau kwa mkoa moja tu na sio nchi, na lini?...Domo yuko poa Jamaa yangu tumpe heshima yake tuache chuki.Mana Alikiba hawezi mfikia Tena labda Konde boy nae kwa mbali sana.
Sema mzee baba ujui Hilo kauli Ina maana gani huyo mwenzako anamkejeri kiba Kama ujui hapa imeingia Chaka na hao wote wanaosema hivyo ni fans wa diamond
 
Usiamini kila usikiacho
Show yake ya Burundi ya VIP kiingilio cha chini kilikuwa dola 350 ichenji kwa hela za bongo alafu kajaza uwanja mpaka Kuna mashabiki wengine wamebaki nje ndo ujue huyu jamaa anatisha km alivyosema member mmoja hapo juu hakuta tokea tena kuwa na msanii mkubwa kama diamond Mambo anayofanya ni makubwa Sana.
 
Watu tunatofautiana, me napenda msanii aweke play-back ili muda mwingi pale stejini atumie kucheza. Maana kama kusikikiza hizo ngoma nazisikiliza kila siku, naenda kwenye show zake kupata kitu tofauti. Kuimba huku anadance naona kama concentration inapungua vile, sasa bora atumie play-back apate uhuru wa kushambulia jukwaa kwa fujo.
Viana wa leo bwana!!! sasa wasanii wa siku hizi wana kazi gani? mtu anaweka CD aliyorekodi miaka kibao na kuzuga kama anaimba wakati hakuna lolote!!!? sasa atachoka kwa kipi?? kwa kusema mikono juu au sei yoooo!!! yaani mimi nipoteze muda wangu kuangalia mtu anayefanya maigizo kwa kuweka CD eti anakonga nyoyo???kama mtu haimbi live siwezi kumsikiliza nafumba macho ama natoka kabisa hata kama ni sherehe inaharibikia hapo hapo iwe kwaya!!! iwe bendi iwe bongofuleva... poterea mbali sasa wewe komaa na maneno ya kizungu niliyoyaandika kwa makusudi ukidhani nimekosea.
 
Viana wa leo bwana!!! sasa wasanii wa siku hizi wana kazi gani? mtu anaweka CD aliyorekodi miaka kibao na kuzuga kama anaimba wakati hakuna lolote!!!? sasa atachoka kwa kipi?? kwa kusema mikono juu au sei yoooo!!! yaani mimi nipoteze muda wangu kuangalia mtu anayefanya maigizo kwa kuweka CD eti anakonga nyoyo???kama mtu haimbi live siwezi kumsikiliza nafumba macho ama natoka kabisa hata kama ni sherehe inaharibikia hapo hapo iwe kwaya!!! iwe bendi iwe bongofuleva... poterea mbali sasa wewe komaa na maneno ya kizungu niliyoyaandika kwa makusudi ukidhani nimekosea.
Ahaaaah ndo maana watu awajalike li comment lako maana nilakijinga eboooooh
 
Fid Q kapiga show moja la balaa uzinduzi wa album yake ya kitaolojia, amepiga kwa live band sauti inasikika vizuri hakuna cha mikono juu, say yeeeeh yeeeeh. Nilikua sijamfaham vizuri na mwingine ni Christian Bella
Hao ma underground ndo unatutajia hapa ahaaaah
 
Alikiba alishawahi kupiga show nchi sita mfululizo sema huwa hapendi makuu
Yes, kama heading inavyosomeka................

kwanza nianze kwa disclaimer, mi ni mshabiki mkubwa sana wa DIAMOND, SIMBA CHIBUDIII CHIBUDEEEE...........

Pili, nimpe sifa zake Diamond platnumz kwa kuwa na consistency ya muda mrefu sana, miaka kumi kwenye game bado anatoa hits non-stop na bado ndiye superstar nambari moja kwenye muziki hapa bongo.

Tatu, nije kwenye mada, hivi karibuni Diamond amekuwa akipiga shows mfululilizo, mfano ni hii juzi alipiga ijumaa Burundi, jumamosi akapiga Rwanda, Jumapili akapiga Moshi Tanzania...........!!! , shows tatu , katika nchi tatu ndani ya siku tatu tofauti..!!!!!!

Sio kazi rahisi, na historia inatuonyesha kuwa kutokana na kazi ya muziki kuwa ngumu hasa kwenye kutumbuiza mida ya usiku mfululizo ,wasanii wengi wakubwa walijikuta wamekuwa addicted kwa kutumia dawa mbalimbali mfano,kina Marehemu Michael Jackson, Lil wayne, Marehemu whitney houston, Britney spears ,Chris brown n.k.

Sasa najiuliza kwa huyu supastaa nambari moja hapa nchini ni uwezo pekee unaomfanya awe na uwezo kupiga show mfululizo au kuna namna nyinginine.

Kama ni uwezo pekee basi hakika tutakuwa tunamshuhudia "The Greatest Music Performer" in the history of Tanzanian Music at Peak of his Powers, show tatu mfululizo katika nchi tatu tofauti ndani siku tatu na zote akizipiga kwa kuimba na kucheza si jambo la kawaida na pengine ndio linafanyika kwa mara ya kwanza Tangia tumepata uhuru.
 
Kweli mkuu, ila kinachonishangaza ni kwamba huyu mtu ana mapafu ya farasi au kuna vitu anatumia, show 3 back to back sio mchezo halafu hapo ameshatoka USA kapiga shoo nyingine kadhaa na kabla ya USA alikuwa Dodoma... kwa haraka haraka ndani wiki mbili anaweza akawa amefikisha show 10 na kazipiga nchi tofauti

Watanzania ni wavivu ila hakuna kinachoshindikana, kuna watu wanapasua mawe 12hrs a day kwa mwaka mzima, na mzigo usiku wanapiga fresh, wanatumia mbinu gani?
 
Back
Top Bottom