Diamond ni uwezo pekee au...!


Akiwa Moshi aliingia kwenye stage saa 7 usiku. Hata mgeni rasmi ambaye alikuwa mkuu wa mkoa alikuwa keshaondoka.
Ninavyoelewa International performers wanathamini muda wa kuperform.
 
Lazima atakua anakula bange huyu,sio bure
 
Sema mzee baba ujui Hilo kauli Ina maana gani huyo mwenzako anamkejeri kiba Kama ujui hapa imeingia Chaka na hao wote wanaosema hivyo ni fans wa diamond

Domo Levo nyingine kabsaaa....Hakuna wa kumfilkia....Ata maunderground wanatamani kuwa kama yeye...ukiona Mtu underground anamsifia Kiba Jua alikosa pa Kuingilia Wcb.
 
Domo Levo nyingine kabsaaa....Hakuna wa kumfilkia....Ata maunderground wanatamani kuwa kama yeye...ukiona Mtu underground anamsifia Kiba Jua alikosa pa Kuingilia Wcb.
kwahiyo ma underground wengine wamefanikiwa kuingia wcb[emoji16][emoji16][emoji16].

yaani nyinyi watu ndio mnafanya hata wengine tuonekane matahira humu kwa kujadili nanyi.
 
xa unamshangaa diamond akat wanga wanakexha karibu kila cku na asubuh hawalali wapo busy2... huyu jamaa anajua anachofanya anatengeneza hexhma yake binafsi...
Aliemuelewa anitafsirie maana hata sijajua kaongea lugha gani. Pengine kunajambo la maana.
 
Moja kati ya Binadamu nnaowaogopa apa duniani kwa ku'perform mfululizo bila kuchoka ni Chris Brown..Chalii alikua na show Kenya siku iyoiyo akasafiri hadi Australia kwenye show.kesho yake ana show tena Virginia alaf saa10 alikua na show South Korea,Just imagine mtu huyo!!
 
Mh kuna harufu ya kamba hap.
 
Diamond kafanya mambo ambayo yatachukuwa muda mrefu sana kuja kufanywa na msanii mwingine wa hapa Tz.

Tz hii hamna msanii kama Diamond mengne tutadanganyana Tu ili sku ziende, jamaa kashavuka boda
 
Watatokea wengi TU japokuwa itachukua muda ila lazima watokee baada ya Mr nice HAKUNA MTU aliyekua anaamini IPO siku atatokea msanii mkubwa km Mr nice na Hugo mond HAKUNA aliyekuwa anajua atakuwa mkubwa hivi but jamaa kawa mkubwa usiseme hatatokea usiseme hivo TENA usirudie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…