King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tatizo babu tale labda hajui maana ya kummanage msanii..
Aangalie mfano wa meneja wa Davido au P square we unafikiri wale utawaita bila kuwapa full amount hawaji maana wanajielewa.
Diamond sasa hivi anatakiwa act Kama international music hamna kujuana.
Kama huna full amount hamna kwenda Kwenye show.
Kwa hiyo unawaita mods wafanye kazi ipi juu yangu? Nipo tayari kuutoa ushahidi huu kama kutakuwa na mazingira mazuri ya ushahidi wangu. Siogopi
Kwa hiyo unawaita mods wafanye kazi ipi juu yangu? Nipo tayari kuutoa ushahidi huu kama kutakuwa na mazingira mazuri ya ushahidi wangu. Siogopi
Marketing strategy ya Babu Tale ina-base kwenye kufanya fitina tu naamini hakujua kama Diamond atatusua mpaka nje ya mipaka ambako yeye kama meneja naamini hakujipanga alidhani wataishia kwenye umaarufu wa ndani,Tale ni mzuri kwenye local market maana music industry yetu inaamini kwenye fitina za kumzima fulani ili wewe utoke.
Shule ni tatizo pia maana kwenye timu yao nadhani wamebebana kimazoe sana kuanzia msanii,meneja,Dj etc naungana na mtoa bandiko kua it's high time now kwa dogo kuajiri watu wenye proffesional zao na exposure,vurugu za Germany Tale akasema kwao zina faida cause zinamtangaza msanii wake duh hapo nikajua kabisa Mkurya kapewa mashairi ya taarabu na hili la UK utawasikia wakiwalaumu waandaji hawawezi kujitathimini wao wenyewe wapi wanakosea.
Naona jamaa ana sura ya kichaga! Mchaga nini?Mkuu muuza ubuyu ! Babu Tale huyu hapa!
Ni swala la kuto jiamini tuu!
Hakika wana muangusha kijana!
Ni swala la kuto jiamini tuu!
wote watoto wakiswazi wanadhani kila sehemu unafanya unjaunja wa kibongo bongo,kumbe kuna mambo yanatakiwa shule na uwelewa pia,D-mond(kama nanavyoitwa na chid)alitakiwa kwa level aliyofika awekaribu na mtu kama AY ambaye ni next level kabisa na anaconnection kibao kwa show za mbele,sidhani kunamtu anaevuka boda kama Ambwene kwa wasanii wakibongo...Sasa Kitorondo yeye analeta ujuaji wambagala,tandale na manzese akishilikiana na mwenzie tale wanafanya mambo kihuni na kijinga utadhani wanabongo fleva wa enzi hizo promota ana beep,yaani ukitazama uhalisia wa huyu d-mond anavyo ingizwa mkenge utafikiri mtu anayecheza karata tatu kwa zama hizi.Hivi kwa u legendary aliojivika kweli hakuwa na connection ya maana kabisa yakumsimamia,??Pia wao wanaweza kuchukulia poa yeye na tale wake nakujipa moyo kuwa hizo scandal zinampa umaarufu kumbe ndio zinamshusha hadhi yake kabisa,kwa waelewa wa tasnia ya muziki wanakuona hauko serious...
Mkuu Ruttashobolwa,
Kwa maoni yangu hakuna haja ya kumfuta kazi Babu Talle bali Diamond anahitaji Manager atakaye-deal na international issues/shows. Tutake tusitake, soko la muziki ndani ya ardhi ya Tanzania ni full fitina... no professionalism. Watu pekee wanaofahamu fitina za muziki ndani ya Tanzania ni Babu Talle na Said Fella... PERIOD! Hivyo basi, Babu Tella na Saidi Fella wanaweza kuendelea kubaki ku-deal na issue za kibongo bongo!
Tunavyozungumzia muziki kwenye international level, hilo ni suala lingine... simfahamu Babu Talle lakini namfahamu vizuri sana Saidi Fella... huyu (Fella) nafahamu hana ubavu wa kumuongoza mtu at international level. Huyu Babu Tella wala haonekani kama yupo tofauti sana na Fella... by the way, Role Model wa BabU Talle ni Saidi Fella.
Kwahiyo, binafsi naona badala ya kumtema moja kwa moja, huyu Tale na Fella wabaki na Domestic Market... or may East African Market lakini wanapotaka kutoka nje ya mipaka ya EAC, lazima hayo masuala yashughurikiwe na mtu mwingine mwenye uelewa.