DIAMOND NI ZAID YA BUSTA

jojoe35

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
262
Reaction score
378
Nmekuwekea hii caption ya jamaa aliyeamua kuboost video yake YouTube kupitia jina "Diamondplatnumz new song2016" ila ukifungua cyo ya diamond, ni vile watu wanaona I'll jna nakutaman kuona iyo nyimbo kumbe cyo, kwa ss INA mda nchache ila ishafikisha views 1M+

Hii inaonyesha jins gan nyimbo za Diamond zinavyotafutwa zaid YouTube

Ila bado punguwani mmoja anasema Diamond ananunua views, kama MTU tu aliyetumia jna LA Diamond bila wimbo wa diamond ana izo views VP diamond mwenyewe akiachia nyimbo?

Wasanii punguzeni kutafta mchawi wa nyimbo zenu, mzikmzur bila ujanja wakuifanya ivutie ata kwa wasiofaam kiswahili inaishia chalize ikowap kajiandae ya juz? Ata siisikii tena, Aya Mavoko uyooo bbcextra1,

By the way nilitaka kusahau napenda janjajanja ya diamond maana ndyo iliyopenyesha bongo fleva duniani, ile mzikimzuri iko 12 years ikashindwa ad ss bado inasubiria njanja atapopata fanbase kokote ndonawao wapeleke vi saut vyao, et ".sikien saut yang.."wat a nonsence

 
Tatizo ni hilo neno ulilotumie..."PUNGUANI".
 
SO...Ni kwa namna gani Diamond zaidi ya Busta?
 
Mbona umeandika kwamba hiyo video Ina mda mchache nimeenda kuicheck nimekuta imepostiwa toka mwezi wa kwanza
 
Mbona umeandika kwamba hiyo video Ina mda mchache nimeenda kuicheck nimekuta imepostiwa toka mwezi wa kwanza
That dazent matter nachmanisha Angalia nyimbo za baadhi ya wasanii za mwaka Jana ad Leo baadhi bado zina 300k,400k,...bado zinatafta 1M, ss uyu aliepost cyo msanii
 
kweli hata jf ukiandika post inayomzungumzia diamond utapata views weng sana
 
Ona sasa!diamond kaenda kununua hadi video ya jamaa anaejibustisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…