jojoe35
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 262
- 378
Nmekuwekea hii caption ya jamaa aliyeamua kuboost video yake YouTube kupitia jina "Diamondplatnumz new song2016" ila ukifungua cyo ya diamond, ni vile watu wanaona I'll jna nakutaman kuona iyo nyimbo kumbe cyo, kwa ss INA mda nchache ila ishafikisha views 1M+
Hii inaonyesha jins gan nyimbo za Diamond zinavyotafutwa zaid YouTube
Ila bado punguwani mmoja anasema Diamond ananunua views, kama MTU tu aliyetumia jna LA Diamond bila wimbo wa diamond ana izo views VP diamond mwenyewe akiachia nyimbo?
Wasanii punguzeni kutafta mchawi wa nyimbo zenu, mzikmzur bila ujanja wakuifanya ivutie ata kwa wasiofaam kiswahili inaishia chalize ikowap kajiandae ya juz? Ata siisikii tena, Aya Mavoko uyooo bbcextra1,
By the way nilitaka kusahau napenda janjajanja ya diamond maana ndyo iliyopenyesha bongo fleva duniani, ile mzikimzuri iko 12 years ikashindwa ad ss bado inasubiria njanja atapopata fanbase kokote ndonawao wapeleke vi saut vyao, et ".sikien saut yang.."wat a nonsence