Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie mmeo le mutuz
Anafanya nini katika kujenga Ufalme wa Mungu useme ni zawadi kutoka kwake!! Ni muujiza gani kafanya unaomrudishia Mungu utukufu!!
Embu baelezeeee shetani nae ana wafuasi wake tena weeengi tu laiti kama alikuwa anaimba kasilda au ana lipaji cha kuhifadhi Quruan Tukufu hapo ndio tungesema hakika huyu ni mja wa Mwenyezi Mungu tulioletewa viumbe wanadamu ili tuweze kumkumbuka Muumba na kuwa karibu zaidi naye kinyume na hapo shetani ana wafuasi wengi sana katika ulimwengu wa leo tena vijana wengi wamemsahau Muumba na kuugeukia ulimwengu nikikumbuka kifo cha Kanumba,langa , mangweya huwa najiuliza maswali mengi kuliko majibu.
unamaanisha mungu huyu huyu muumba mbingu na ardhi na kila kilicho duniani? yaani huyu Mungu mfalme ndio ameishiwa zawadi mpaka atuletee zawadi ya Malaya?..astaghfillullah!
sikushangai maana hujui unachofanya....
huo utakatifu wa kuhoji vifo vya watu umeutoa wapi na kwa mamlaka yapi...mbona wanadamu tunapenda kujipa vyeo vya kujudge watu namna hii
embu baelezeeee shetani nae ana wafuasi wake tena weeengi tu laiti kama alikuwa anaimba kasilda au ana lipaji cha kuhifadhi quruan tukufu hapo ndio tungesema hakika huyu ni mja wa mwenyezi mungu tulioletewa viumbe wanadamu ili tuweze kumkumbuka muumba na kuwa karibu zaidi naye kinyume na hapo shetani ana wafuasi wengi sana katika ulimwengu wa leo tena vijana wengi wamemsahau muumba na kuugeukia ulimwengu nikikumbuka kifo cha kanumba,langa , mangweya huwa najiuliza maswali mengi kuliko majibu.
Analipa kodi, anatoa ajira, anasomesha, analitambulisha taifa kimataifa ...na mengine mengi
Waswahili walisema "ivumayo haidumu "
kitu gani kinakufanya upaze sauti kama wewe sio mtakatifu??
mbona hueleweki unakubali yeye ni zawadi halafu tena ukataa msimamo wako ni upi maana inaonekana hujielewiUkweli unabaki kuwa ukweli Mungu huyu ninaemtumaini mimi Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo hawezi Fanya hivyo kama ni zawadi alimpa mama yake na kila binaadamu ni zawadi kwa wazazi lakini kuja kutuambia maneno mbofumbofu kumsingizia muumba huko huko na shetani wenu na tena mshindwe katika jina la Yesu Kristo aliye hai.
umejuaje kwamba yeye ni shoga kama na wewe hujashiriki......