Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watanzania

Le Mutuz alishatuambia kuna vijana duni na maskini wa kutupwa wamepewa simu za Tecno na wanawekewa bundle kwa kazi hii.

Nakutakia ajila njema Amigo.

Msalimie mmeo le mutuz
 
Hata yule mzee wa msituni naye ni zaadi toka kwa mungu
 
Anafanya nini katika kujenga Ufalme wa Mungu useme ni zawadi kutoka kwake!! Ni muujiza gani kafanya unaomrudishia Mungu utukufu!!

Embu baelezeeee shetani nae ana wafuasi wake tena weeengi tu laiti kama alikuwa anaimba kasilda au ana lipaji cha kuhifadhi Quruan Tukufu hapo ndio tungesema hakika huyu ni mja wa Mwenyezi Mungu tulioletewa viumbe wanadamu ili tuweze kumkumbuka Muumba na kuwa karibu zaidi naye kinyume na hapo shetani ana wafuasi wengi sana katika ulimwengu wa leo tena vijana wengi wamemsahau Muumba na kuugeukia ulimwengu nikikumbuka kifo cha Kanumba,langa , mangweya huwa najiuliza maswali mengi kuliko majibu.
 

huo utakatifu wa kuhoji vifo vya watu umeutoa wapi na kwa mamlaka yapi...mbona wanadamu tunapenda kujipa vyeo vya kujudge watu namna hii
 
Dozi imekuingia barabaraa na mkimkera tena Maddam wenu atawanyang'anya hivyo Vitecno vya laki na nusu mrudi kujazana kwenye Tv za wapemba kuangalia Comedy.
sikushangai maana hujui unachofanya....
 
unamaanisha mungu huyu huyu muumba mbingu na ardhi na kila kilicho duniani? yaani huyu Mungu mfalme ndio ameishiwa zawadi mpaka atuletee zawadi ya Malaya?..astaghfillullah!

Hahahah umenifanya nacheka mpka machozi yanatirirka hapa kwenye daladala wananishangaa
 
huo utakatifu wa kuhoji vifo vya watu umeutoa wapi na kwa mamlaka yapi...mbona wanadamu tunapenda kujipa vyeo vya kujudge watu namna hii

Sina utakatifu lakini ukweli unabakia kuwa ukweli mwenye macho haambiwi tazama na masikio kusikia hutaki unaacha .
 
Sina utakatifu lakini ukweli unabakia kuwa ukweli mwenye macho haambiwi tazama na masikio kusikia hutaki unaacha .


kitu gani kinakufanya upaze sauti kama wewe sio mtakatifu??
 
Utajuwaje ninachofanya wakati hunijui? Tutusa kweli wewe.
jamaa bado unaweka wazi jinsi gani kichwa chako ni cha kunyolea viduku na si vinginevyo
 

visa---5+1+s+a# 6...
 
mungu atoe zawadi ya shoga?hii ni dhiaka wa jehova
 
kitu gani kinakufanya upaze sauti kama wewe sio mtakatifu??

Ukweli unabaki kuwa ukweli Mungu huyu ninaemtumaini mimi Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo hawezi Fanya hivyo kama ni zawadi alimpa mama yake na kila binaadamu ni zawadi kwa wazazi lakini kuja kutuambia maneno mbofumbofu kumsingizia muumba huko huko na shetani wenu na tena mshindwe katika jina la Yesu Kristo aliye hai.
 
mbona hueleweki unakubali yeye ni zawadi halafu tena ukataa msimamo wako ni upi maana inaonekana hujielewi
 
umejuaje kwamba yeye ni shoga kama na wewe hujashiriki......

Basha wake chief alimhonga gari na aliutangazia umma kupitia kipindi cha hatua tatu cha times fm kuwa alimpatia gari diamond kwi kwi kwiii dunia hii hakuna cha bure,mimi dume la mbegu mhogo wa jang'ombe unaweza kuja nikupatie hata mama yako nitamsugua vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…