Diamond: Nililipwa 100mil kutumbuiza jukwaa moja na Ali Kiba

Diamond akidai kalipwa hivyo ni sawa, maisha yake yanaonekana. Yule mwenzake akidai kalipwa 100 tutashangaa maana hata humu JF kuna thread inasema nyumba hana!

Vipaumbele ktk maisha vinatofautiana ndugu. ....we unawaza kuwa na nyumba lkn mwenzio anawaza kuhonga. ..mwingine anawaza kuanza na gari la pesa ndefu
 
Diamond akidai kalipwa hivyo ni sawa, maisha yake yanaonekana. Yule mwenzake akidai kalipwa 100 tutashangaa maana hata humu JF kuna thread inasema nyumba hana!

We jamaa umeongea bonge la point!
 
Mhuu..
Umeona kasema yeye team nani??
Domo domo domo.
 
Nipe contacts za diamond,nataka aje kupiga show kwenye birthday ya binti yangu hapa Songea nitamlipa bilion moja tu!
 
Sasa kwani Ali Kiba pekee ndie alikuwa msanii mwingine pekee, nyie ndio mnakuza na kuongezea maneno wakati hata hakutaja jina.

Ila big up to him anajua thamani yake na ndio kazi yake.
 
Nawashangaa sana nyie mnaye mshusha baba Tiffah wakati anawafungulia wasanii
mlango wa kuweza kudai hela nyingi kwenye show, mwenye akili ataelewa Na kutumia hii Kwa faida yake. Waangalie wasanii wanigeria wanavyolipwa na Kuishi maisha ya juu. Tatizo la watz hawaelewi pale hodi inapopigwa wamezoea maisha ya kuiigiza.
 
Pia asisahau kuwa Alikiba alikula milion milion #120 na rich mavoko alikula milion #80 so hiyo ni kawaida jamaa aache ulimbukeni.

Hahaaaa mkuu kiba anakaa kwao hiyo milioni 120 akilipwa lazma azimie wiki au kufariki.....mtu kodi y nyumba imemshinda tu hiyo 120m labda ya zimbabwe
 
Hahahahahhahahahaha uwiiiiii 😀😀😀😀😀😀😂
 
Ali kiba alilipwa laki mbili na nusu pwilo
 
Last edited by a moderator:
Ali kiba alilipwa laki mbili na nusu pwilo
kedrick kweli we kilaza daimond ni sawa amzidi kiba kwenye hela za show ila kiba anaingiza pesa nyingi kwenye show kushinda daimond daimond ana team kubwa wanaomtegemea romy jons ,kifesi four managers ,zari mama yake ,petit na esma ,watoto wa esma ,queen darling , watato wawili anawalipia ada walioshinda shindano la no 1 madancers nk .jamaa anaishi maisha ya kuigiza sana ila pesa ya kawaida tu anayopata akiwalipa wote hao hata kama ni 1biliion ana team kubwa sana kushinda kiba ndo maana daimond anamfulululizo wa show ili awalipe hao jamaa [emoji115] [emoji115] [emoji115]
#nagharamia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

mfulizo wa show c wanaleta mapromoter sio yeye kiba hapati show msanii gani hadi sasa ivi ana nyimbo mpya ya kutoa :mvutaji:
 
mfulizo wa show c wanaleta mapromoter sio yeye kiba hapati show msanii gani hadi sasa ivi ana nyimbo mpya ya kutoa :mvutaji:
mapromoter wake si ndo hao mamanager wake we unajua salaam sk ana kazi gani pale ???
 
mfulizo wa show c wanaleta mapromoter sio yeye kiba hapati show msanii gani hadi sasa ivi ana nyimbo mpya ya kutoa :mvutaji:
asipige show afe njaa we una fikiri wcb kuna watu wangapi ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…