Diamond nimeamini kweli hao wanajenga majungu wewe unajenga vibanda

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Haya sasa kwa wale ambao hamkubahatika kuziona picha za b' day ya Zari iliyofanyika huko ZNZ hizi hapa ndio picha zenyewe





















Haya sasa wabongo kazi yao kufikiria mtaachana lini ila nyinyi ndio kwanzaaaa penzi linachanua ,daaah huyo Zari nae kama Shombe Shombe , Wema katumia kila gia muachane na Zari ikiwemo kutengeneza team ila ngoma imedunda mwishowe akapaniki , hah ha ha daaah usiliache hilo toto hilo ,toto linalojielewa lenye IQ ya kipekee kabisa.

Ulivyomnunulia nyumba shem letu Zari wakaanza tena mara oo nyumba mmepanga eti kama hamjapanga muoneshe hati ya nyumba , hah ha ha inaonekana ngoma imepenya hiyo mwamba endelea kuwanyoosha tu maana hamna namna.

Ulivyotoa Salome wakaanza tena majungu eti Mobeto ndio Salome kisa Zari hajatokea mule kwa kuwa wasafi wote waliuza sura na mademu zao kama vile harmo na wolper, na iyobo na aunt.

Mwisho ningependa kumtakia Zari maisha marefu yenye Furaha tele na pia nakutakia na wewe maisha marefu uzidi kututengenezea ngoma kali , na pia nakukubali sana mwamba hujawahi kuniangusha tangu uingie kwenye gemu

[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati# [HASHTAG]#siyo[/HASHTAG] mtu wa mchezo mchezo#
 
Kuna video wamejirekod zari na daimond sasa watu wameiwekea ile nyimbo ya nampenda bibi kizee nakupenda kikongwe nimecheka balaaa
Mungu anakuona ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna video wamejirekod zari na daimond sasa watu wameiwekea ile nyimbo ya nampenda bibi kizee nakupenda kikongwe nimecheka balaaa
Lakini "my" si ndio ujue kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE. Huwezi kukuta hayo mambo anafanyiwa msanii mwingine yeyote TZ hii kama sio kwa MOND.Na likifanyika kwa mwingine kwanza hutoiona kama habari wala kichekesho na utawauliza kwani huyu ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…