Diamond nimeamini kweli hao wanajenga majungu wewe unajenga vibanda

Hance katika ubora wako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tumshauri "hance mtanashati" ama aanzishe gazeti lake la matukio ya watu wake, au ubaki huko huko 'instagram", kwenye udaku na matukio ya aina yaje, ili JF libaki jukwaa la waungwana!
 
Tumshauri "hance mtanashati" ama aanzishe gazeti lake la matukio ya watu wake, au ubaki huko huko 'instagram", kwenye udaku na matukio ya aina yaje, ili JF libaki jukwaa la waungwana!
Kwa nini mkuu hautaki mimi niwepo humu,nimekukwaza wapi?
 
Kwa nini mkuu hautaki mimi niwepo humu,nimekukwaza wapi?
JF ni jukwaa huru, rukhsa kwa yeyote, ila tunapenda mada za kutaarifiana masuala muhimu, yenye kuibua majadiliano, badala ya masuala ya watu binafsi, kama hili, ambayo huibua ushabiki tu. Sichukui jukumu la "Mods".
 
Sasa niambie celebrities forum kazi yake nini??
 
Sasa niambie celebrities forum kazi yake nini??
"celebrities forum" iibue masuala ya kuhamasisha ukuaji wa eneo husika (sanaa, michezo, nk) ili kuibua vipaji vipya, au.

Kupashana haya ya kwako tuachie mitandao mengine, ndiyo maana kuna magazeti/tv na "media" zaa aina mbalimbali kwa jamii tofauti na maudhui tofauti
 
Aunt mjanja sana. Tangu awe na Musa kimyaàa, anacheza na fursa tu.
 
sawa nimekuelewa kwa heri
 
Mhhhhhh hizo picha za birthday Zari kaonekana jinsi umri ulivyomtupa mkono.
Watu wameng'ang'ania umri wa Zari.. Wamebaki kukosoa umri maana hawana kingine.. Mbona Uhuru Kenyata Mkewe Mzee na maisha yanaenda.. Diamond mwenyewe anajua Zari ni mkubwa.. Na anajua anawatoto kibao.. Tuachage utanzania basi
 
Tuacheni utani diamond ana maisha fulani watu wengi tunayatamani lakin uwezo hatuna maisha fulani amazing ndio maana wanamchukia
Aione Nifah na wenzake.. Eti umri umri inasaidia nini
 
Aaah hv ww unawajuwa waganda vizuri wewe?? Nimejukanya tena usirudie,waganda wana roho mbaya sana na hii imekuwa translated mpka kwa wageni wanaokanyaga ardhi ya Museni..hyo nime experience kwa ndugu zangu wacha Kabisa ww
 
Rome Jones, mama mond na Dada zake watakuja kua na maisha magumu sana baadae
Baba ako na mamako kesho watakuwa na maisha magumu haijawah tokea wewe utakuja kuwa ombaomba mtaan kwa ushirikiano na wadogo zako
Dada zako watakuja kuwa wauzaji mpaka utawatamn na wewe
 
Watu wameng'ang'ania umri wa Zari.. Wamebaki kukosoa umri maana hawana kingine.. Mbona Uhuru Kenyata Mkewe Mzee na maisha yanaenda.. Diamond mwenyewe anajua Zari ni mkubwa.. Na anajua anawatoto kibao.. Tuachage utanzania basi
Bora wewe umesema,wivu tu hakuna kingine, yaani wengine ni kama upepo akisikia rafiki yake kamchukia Zari naye analiunga.
Mwuulize sababu sasa eti anaroho mbaya,mwuulize roho mbaya kakufanyia nini oooh nimesikia watu wanasema[emoji3] [emoji3] [emoji3] binadamu bana.
 
Na ww umekazania Zari ana roho mbaya kwan kakufanyia nn,we unayajua maisha ya Zari zaidi ya anavyojijua yy??,jitazame kibanzi ndan ya jicho lako kwanza,sio kusema ana roho mbaya,we una uhakika roho yako nzuri??,u r jus'a human being as she is,stop kumnyoshea mwenzio kidole wakati inawezekana wewe ni mchafu kuliko yy,,,idiot!
 
Mbona unatokwa povuuu jingii bibie[emoji2] [emoji2]
 
Auntie Ezekiel kwa kuchangamkia fursa ni hodari sana. Malkia wa nguvu...
 
Wewe una roho nzuri....wivu tu umekujaa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…