NHS
Senior Member
- Sep 19, 2016
- 121
- 61
Duuh ila Iyobo mweusi asee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh ila Iyobo mweusi asee..
Tumshauri "hance mtanashati" ama aanzishe gazeti lake la matukio ya watu wake, au ubaki huko huko 'instagram", kwenye udaku na matukio ya aina yaje, ili JF libaki jukwaa la waungwana!Hance katika ubora wako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa nini mkuu hautaki mimi niwepo humu,nimekukwaza wapi?Tumshauri "hance mtanashati" ama aanzishe gazeti lake la matukio ya watu wake, au ubaki huko huko 'instagram", kwenye udaku na matukio ya aina yaje, ili JF libaki jukwaa la waungwana!
JF ni jukwaa huru, rukhsa kwa yeyote, ila tunapenda mada za kutaarifiana masuala muhimu, yenye kuibua majadiliano, badala ya masuala ya watu binafsi, kama hili, ambayo huibua ushabiki tu. Sichukui jukumu la "Mods".Kwa nini mkuu hautaki mimi niwepo humu,nimekukwaza wapi?
Sasa niambie celebrities forum kazi yake nini??JF ni jukwaa huru, rukhsa kwa yeyote, ila tunapenda mada za kutaarifiana masuala muhimu, yenye kuibua majadiliano, badala ya masuala ya watu binafsi, kama hili, ambayo huibua ushabiki tu. Sichukui jukumu la "Mods".
"celebrities forum" iibue masuala ya kuhamasisha ukuaji wa eneo husika (sanaa, michezo, nk) ili kuibua vipaji vipya, au.Sasa niambie celebrities forum kazi yake nini??
sawa nimekuelewa kwa heri"celebrities forum" iibue masuala ya kuhamasisha ukuaji wa eneo husika (sanaa, michezo, nk) ili kuibua vipaji vipya, au.
Kupashana haya ya kwako tuachie mitandao mengine, ndiyo maana kuna magazeti/tv na "media" zaa aina mbalimbali kwa jamii tofauti na maudhui tofauti
Watu wameng'ang'ania umri wa Zari.. Wamebaki kukosoa umri maana hawana kingine.. Mbona Uhuru Kenyata Mkewe Mzee na maisha yanaenda.. Diamond mwenyewe anajua Zari ni mkubwa.. Na anajua anawatoto kibao.. Tuachage utanzania basiMhhhhhh hizo picha za birthday Zari kaonekana jinsi umri ulivyomtupa mkono.
Aione Nifah na wenzake.. Eti umri umri inasaidia niniTuacheni utani diamond ana maisha fulani watu wengi tunayatamani lakin uwezo hatuna maisha fulani amazing ndio maana wanamchukia
Aaah hv ww unawajuwa waganda vizuri wewe?? Nimejukanya tena usirudie,waganda wana roho mbaya sana na hii imekuwa translated mpka kwa wageni wanaokanyaga ardhi ya Museni..hyo nime experience kwa ndugu zangu wacha Kabisa wwMmmh Bibi si kwa mkorogo huo, halafu anavoonyesha hilo tumbo Kama fasheni vile angejua nguo za kubana na tumbo hata hapendezi , pili mbona anaonekana Hana furaha hata smile jaman siku ya birthday khaa!! Picha hazionyeshi furaha asee japo wanalazimisha.. Sasa mbona hatuoni familia ya diamond?? Ila huyu mwanamke ni nyokoo Ana roho mbaya Sana hata kuwaalika? [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Baba ako na mamako kesho watakuwa na maisha magumu haijawah tokea wewe utakuja kuwa ombaomba mtaan kwa ushirikiano na wadogo zakoRome Jones, mama mond na Dada zake watakuja kua na maisha magumu sana baadae
Bora wewe umesema,wivu tu hakuna kingine, yaani wengine ni kama upepo akisikia rafiki yake kamchukia Zari naye analiunga.Watu wameng'ang'ania umri wa Zari.. Wamebaki kukosoa umri maana hawana kingine.. Mbona Uhuru Kenyata Mkewe Mzee na maisha yanaenda.. Diamond mwenyewe anajua Zari ni mkubwa.. Na anajua anawatoto kibao.. Tuachage utanzania basi
Na ww umekazania Zari ana roho mbaya kwan kakufanyia nn,we unayajua maisha ya Zari zaidi ya anavyojijua yy??,jitazame kibanzi ndan ya jicho lako kwanza,sio kusema ana roho mbaya,we una uhakika roho yako nzuri??,u r jus'a human being as she is,stop kumnyoshea mwenzio kidole wakati inawezekana wewe ni mchafu kuliko yy,,,idiot!Mm huyu dada nilikuwa nampenda lakn alipofanya birthday ya mwanae bila kuwaalika ndugu zake diamond nilimchukia ghafla hiyo ni dharau kubwa Sana na sidhan Kama kina sandrah walikataa kwenda ni dhahir hakuwaambia , Ana roho mbaya Sana huyu mwanamke hata na ndugu wa Ivan haelewan nao, na sijui Kama hiyo nyumba ya south watakuja watie mguu wao kule
Mbona unatokwa povuuu jingii bibie[emoji2] [emoji2]Mmmh Bibi si kwa mkorogo huo, halafu anavoonyesha hilo tumbo Kama fasheni vile angejua nguo za kubana na tumbo hata hapendezi , pili mbona anaonekana Hana furaha hata smile jaman siku ya birthday khaa!! Picha hazionyeshi furaha asee japo wanalazimisha.. Sasa mbona hatuoni familia ya diamond?? Ila huyu mwanamke ni nyokoo Ana roho mbaya Sana hata kuwaalika? [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wewe una roho nzuri....wivu tu umekujaa aiseeMmmh Bibi si kwa mkorogo huo, halafu anavoonyesha hilo tumbo Kama fasheni vile angejua nguo za kubana na tumbo hata hapendezi , pili mbona anaonekana Hana furaha hata smile jaman siku ya birthday khaa!! Picha hazionyeshi furaha asee japo wanalazimisha.. Sasa mbona hatuoni familia ya diamond?? Ila huyu mwanamke ni nyokoo Ana roho mbaya Sana hata kuwaalika? [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
mwanamke una roho mbaya wewe kupita shetaniYaani na hiyo nyumba ya south sijui Kama watakuja kutia mguu kule
Nina roho nzuri kupita hata mamaako mzazWewe una roho nzuri....wivu tu umekujaa aisee