Diamond nimeamini kweli hao wanajenga majungu wewe unajenga vibanda

Familia ipi unayoitaka wewe? Hapo familia ni Diamond, Zari na Tiffa full stop. Mnapenda kuendekeza extended family enhee? Familia yao ni watu watatu ndio hata mama Zari humuoni hapo.
 
Baba ako na mamako kesho watakuwa na maisha magumu haijawah tokea wewe utakuja kuwa ombaomba mtaan kwa ushirikiano na wadogo zako
Dada zako watakuja kuwa wauzaji mpaka utawatamn na wewe
Wewe kapuku ujilinganishe na usiowafahamu . Hahaaaaa
 
.....Daaah ! Kweliiiiiiiiiiiii ana kizygot tumboni jamaaniiiiiiiiiiiiii !
 
Dhuuuuu Wabongo maisha ya Watu wanayajua sana kuliko yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…