me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovuuu yaya wa tifamwanamke una roho mbaya wewe kupita shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovuuu yaya wa tifamwanamke una roho mbaya wewe kupita shetani
Familia ipi unayoitaka wewe? Hapo familia ni Diamond, Zari na Tiffa full stop. Mnapenda kuendekeza extended family enhee? Familia yao ni watu watatu ndio hata mama Zari humuoni hapo.Mmmh Bibi si kwa mkorogo huo, halafu anavoonyesha hilo tumbo Kama fasheni vile angejua nguo za kubana na tumbo hata hapendezi , pili mbona anaonekana Hana furaha hata smile jaman siku ya birthday khaa!! Picha hazionyeshi furaha asee japo wanalazimisha.. Sasa mbona hatuoni familia ya diamond?? Ila huyu mwanamke ni nyokoo Ana roho mbaya Sana hata kuwaalika? [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
unamuonea wivu zari kisa wewe amekuzidi uzuri na pesa acha wivuNina roho nzuri kupita hata mamaako mzaz
Lete mastory bwana achana nao haosawa nimekuelewa kwa heri
Wewe kapuku ujilinganishe na usiowafahamu . HahaaaaaBaba ako na mamako kesho watakuwa na maisha magumu haijawah tokea wewe utakuja kuwa ombaomba mtaan kwa ushirikiano na wadogo zako
Dada zako watakuja kuwa wauzaji mpaka utawatamn na wewe