Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂🚮“Lakini siku zote nitaendelea kumuheshimu kama mzee wangu, kumpenda kama mzee wangu na kumsaidia atakapohitaji msaada kwani hata baada ya kupata taharuki sikuachaga hizi huduma kila niposikia kuna hili na hili natakiwa kufanya,”
kila kitu uko Huku kumjadili, you are madNimemzidi kila kitu.
Akijiroga kubadilisha jina tu...basi na huo ndio utakuwa mwisho wa umaarufu wake kimziki. Jina linabeba uhalisia wa maisha yetu katika ulimwengu wa roho
Hizo ni imani potofuInabidi awe makini, maana jina huwa linamaana kubwa katika maisha ya binadamu na mafanikio yake.