“Lakini siku zote nitaendelea kumuheshimu kama mzee wangu, kumpenda kama mzee wangu na kumsaidia atakapohitaji msaada kwani hata baada ya kupata taharuki sikuachaga hizi huduma kila niposikia kuna hili na hili natakiwa kufanya,”
Akijiroga kubadilisha jina tu...basi na huo ndio utakuwa mwisho wa umaarufu wake kimziki. Jina linabeba uhalisia wa maisha yetu katika ulimwengu wa roho