Standard Digital News - Diamond Vodka launches it?s premium brand in Kenya
Ila wanatafuta distributers si mbaya awekeze...
Home
Diamond Standard Vodka Review Spirit Brands | Gayot
Kwa leo inatosha....
kijana kawekea usishangae, hadi sasa hivi ni siri kubwa sana nimefanya kuuiiiba tu..soon itazinduliwa rasmi na mmiliki halali kutoka tandale mtamjua
Chai tu
Dunia imebadilika
Uongo wa kipuuzi unaweA kumshusha badala ya kumjaza sifa za kijinga...
Au tekniki yake ya kuwa leo na wema kesho penny mtondogoo menina imechuja????
kijana kawekea usishangae, hadi sasa hivi ni siri kubwa sana nimefanya kuuiiiba tu..soon itazinduliwa rasmi na mmiliki halali kutoka tandale mtamjua
imebadilika lini? acha urongo we, watu wanabadilisha rasimu ya wananchi ya warioba sembuse kijana wa tandale kuwa mmmiliki wa diamond vodka?
Ahsante kwa kutuibia siri,lakini sio unajisumbua juu ya mambo yasiyokuhusu au kwakuwa umesikia Domo anapenda kuwazama kwahiyo unajipendekeza kwake ili akupitie nawe maana una dalili zote U.b.w.a.b.w.a