Diamond noma,balaaaa..... Ana kinywaji chake

Diamond noma,balaaaa..... Ana kinywaji chake

Status
Not open for further replies.

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Nawaletea exclusive kubwa ya karne kwenye nji hiiii
huyu mtoto jamani watu wamuache, kimyakimya kawekeza kwenye biashara ya vodka na jinsi kwa sasa alivyo musician mkubwa duniani( yuko top 50 ya dunia kwa sasa) lazima atauza sana
soon very soon this young man will rub shoulders with the likes of bill gates and warren buffet

😛ositives comments only, pls

diamond vodka.jpg
 
Huu umaarufu mavi ya kuku utawapeleka pabaya......
 
Attachments

  • 1411558256633.jpg
    1411558256633.jpg
    87.2 KB · Views: 692
  • 1411558270430.jpg
    1411558270430.jpg
    88.2 KB · Views: 589
  • 1411558293815.jpg
    1411558293815.jpg
    90.6 KB · Views: 563
  • 1411558312495.jpg
    1411558312495.jpg
    88 KB · Views: 541
Huu umaarufu mavi ya kuku utawapeleka pabaya......

kijana kawekea usishangae, hadi sasa hivi ni siri kubwa sana nimefanya kuuiiiba tu..soon itazinduliwa rasmi na mmiliki halali kutoka tandale mtamjua
 
kijana kawekea usishangae, hadi sasa hivi ni siri kubwa sana nimefanya kuuiiiba tu..soon itazinduliwa rasmi na mmiliki halali kutoka tandale mtamjua

Chai tu

Dunia imebadilika

Uongo wa kipuuzi unaweA kumshusha badala ya kumjaza sifa za kijinga...

Au tekniki yake ya kuwa leo na wema kesho penny mtondogoo menina imechuja????
 
Ni yule yule kijana wa Tandale kwa Mtogole kwa mzee Akilimali wa Yanga kwa jina anajulikana Sir Maatope
 
Chai tu

Dunia imebadilika

Uongo wa kipuuzi unaweA kumshusha badala ya kumjaza sifa za kijinga...

Au tekniki yake ya kuwa leo na wema kesho penny mtondogoo menina imechuja????

imebadilika lini? acha urongo we, watu wanabadilisha rasimu ya wananchi ya warioba sembuse kijana wa tandale kuwa mmmiliki wa diamond vodka?
 
kijana kawekea usishangae, hadi sasa hivi ni siri kubwa sana nimefanya kuuiiiba tu..soon itazinduliwa rasmi na mmiliki halali kutoka tandale mtamjua

Ahsante kwa kutuibia siri,lakini sio unajisumbua juu ya mambo yasiyokuhusu au kwakuwa umesikia Domo anapenda kuwazama kwahiyo unajipendekeza kwake ili akupitie nawe maana una dalili zote U.b.w.a.b.w.a
 
you are very drepresses my friend , kamuone dokta, pole kwa chuki ilyokujaa moyoni mwako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom