Sema Platinum anajitahidi kwenye interview nilimsikiliza na kumwangalia hajapanic.
Mbona umeichagua na kuisoma zenye tija kwanini umeziacha? Toa hoja kwani umelazimishwa kuisoma?Hii habari ina tija gani kwa Taifa?
Shida yako leo umechelewa kwenye mishe mishe yako.Hebu tafuta sehemu upige supu kwanza.Hiyo interview ilisharekodiwa kabla ya Fiesta tumia akili.
Huyu Domomatakuja kuishia kama akina ngurumo na mzee small