Diamond on sporah show

Diamond on sporah show

Sema Platinum anajitahidi kwenye interview nilimsikiliza na kumwangalia hajapanic.
 
Hiyo interview ilisharekodiwa kabla ya Fiesta tumia akili.
Shida yako leo umechelewa kwenye mishe mishe yako.Hebu tafuta sehemu upige supu kwanza.
Mimi sijasema alichoongea nini hapana nazungumzia the way alivyojielezea tuu kama pumba zake kama point zake ila nilichoona alivyojieleza.Angalia interview za Dully hata akiongea point yote utadhani takataka hana staha.
 
huyo sporah kila diamond tu mweee...nahisi domo anakula huyo mama sporah
 
Back
Top Bottom