Diamond Plantumz amesajili msanii mpya Wasafi

Diamond Plantumz amesajili msanii mpya Wasafi

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
1675345105705-jpg.2503785
Kupitia Ukurasa wa Instagram (Insta-Story) Wa Star Muziki Africa Na C.E.O Wa Label Ya "WCB Wasafi" SIMBA [emoji881] diamondplatnumz [emoji881] Ame-Share Picha Iliyoonesha Mkataba Kwa Ufupi Ukieleza Kwamba WCB Wamesaini Msanii Mpya
 
Mbwembwee zoote mwisho wa siku aishie kuwasimanga na kumsakama.,utadhan msaada wa bure kumbe mtumwa mpya wa kulipishwa faini ndefu akijitoa

#pooovuuu
 
Mbwembwee zoote mwisho wa siku aishie kuwasimanga na kumsakama.,utadhan msaada wa bure kumbe mtumwa mpya wa kulipishwa faini ndefu akijitoa

#pooovuuu
Hakuna cha bure saiv na hakuna anayependa kusainishwa mikataba ya unyonyaji..
Kungekuwepo na sehemu wanasaini bure wangeenda tu
 
Back
Top Bottom