Diamond Platinamuz show tatu za nguvu kwa miezi mitatu

Kati ya wachawi maarufu hili Jukwaa huyo yumo.

Tena siku hizi kaanza hadi kuchawia afya za watu.

Na mwenzake matumbo na daata !! Yaani hao ukiwaambia wakuletee kidole cha ally kiba watakuletea tu.

Ali Kiba anafanya show 'club' la liga ...Diamond anafanya show Lagos kwenye tamasha la kimataifa litakalotazamwa na Africa yote live...Kuna tatizo hapo?

Kidole ntaleta cha yule msanii njiti mwenye roho ya kichawi.
 
Niliwahi kusema ule msafara wake unamgharimu sana akipiga mil 10 anabak na 5

Vigezo na masharti huzingatiwa. Diamond ana vigezo vyake na masharti yake. Mojawapo ni hivi

  • Ndege lazima akae bussines class
  • Kwenye mashine, lazima asimame DJ wake
  • Hotel, chumba chake lazima kiwe suite, na kwa wengine i.e dancers, managers etc ni standard na kila mmoja analala chumba chake.
Hayo ni machache kati ya mengi ambayo wewe unayemualika kwenye shoo lazima uyalipie, hayahusiani kabisa na gharama za shoo yenyewe.
 
Team Diamond hawataki kuambiwa ukweli,Thanks Le Mutuz kwa kutuweka wazi,hao Team Diamond wamenunuliwa Tecno kuja kumtetea boss wao kwenye mitandao.

Mie sio mchumia tumbo,nahita spade a spade and not a big spoon,sijawahi kwenye nasfi yangu kumuombea mabaya diamond hata siku moja,na ukifuatilia post zangu natoa maoni kwa wasanii wote tu na kuna uzi niliuanzisha wa best naso na timbulo long tym sana kwahiyo sipo JF kwa ajili ya diamond,penye sifa patatolewa sifa.

Diamond nafagilia nyimbo zake mbili tu,Mbagala na Nitarejea zingine zote ni promo tu za magazeti na wazee wa fitina kina fela ndio maana zinapata airplay,machale kibao mwilini matozi hawaoni soo?

Muulize Dude na ripoti yake kuhusu wasanii,unataka kuniambie wewe Deo unawajua sana wasanii kuliko dude,ugonjwa wa kifua umewakamata wasanii wengi tukiwa tunaficha ndio tutazidi kuwapoteza,ukwli ndio huo wasanii wengi wameumia hata dude alishasema haya.

Please note sina chuki na msanii yeyote tanzania,nitasema ukweli daima fitina kwangu mwiko,sijapewa Tecno na msanii yeyote kuja kumtetea so mtizamo ninaoutua haupo na ushabiki wa msanii,kama diamond au msanii mwingine atafanya vizuri lazima asifiwe.

kushuka diomond lazima atakuja kushuka tu hata kama sio leo na sio diamond wasanii wote,hauwezi kuwa juu milele hiyo haiwezekani.Kuna mtu aliyekuwa anapendwa kama nature?


Cc: chige , mr gentleman , Deo Corleone , RRONDO , Ngurubhe , BestOfMyKind , nifah , Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Kati ya wachawi maarufu hili Jukwaa huyo yumo.

Tena siku hizi kaanza hadi kuchawia afya za watu.

Na mwenzake matumbo na daata !! Yaani hao ukiwaambia wakuletee kidole cha ally kiba watakuletea tu.

Im data if u ment to mention me.,, ofcourse i represent real talents.., platnumz !
 
Last edited by a moderator:

Nimekusoma sana mzazi.Hakuna aliyekua anapendwa kama Nature, mimi mwenyewe nilikua namkubali sana lakini kwa sasa upepo umehama kwake.
Tatizo ni watu hawataki kuubali ukweli, hilo tu.Ukishaelewa hilo wala usipate nao taabu tena.
 
Nadhani wewe unapaswa kupuuzwa kwa sababu badala ya kujibu hoja unaleta nonsense!! Inawezekana huna chuki lakini una mawazo ya kipuuzi kama sio ya kipumbavu! Hoja yako niliyokuwa nimeku-quote ni hii
Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
Mtu smart hawezi kuongea upuuzi kama huo! hata hivyo, nikahoji: Badala ya kujibu hoja unaleta nonsense! Kama huna uwezo wa kujibu hoja basi piga kimya badala ya kuongea ujingai! Hebu jitathmini... saa chache zilizopita unasema:
Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua
Muda mfupi baadae unasema:
kushuka diomond lazima atakuja kushuka tu hata kama sio leo
Hivi Sasa hivi ni nani kati yetu mwenye sifa za kuweza kununuliwa Techno ili aje majamvini kuongea ujinga? Yaani karne ya 21 mtu bado unaamini ushirikina...
 
Sijui huu ugonjwa wa mapovu utaisha lini! kitu kidogo watu wamepandishiana! jamani we are great thinkers.
 

Ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia tumbo,ninapomaanisha kushuka kimuziki hiyo mara ya pili nilikuwa na maana ya kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki,kwa sasa kashuka kimuziki kinachombeba ni figisu za fela na promo zenu za kununuliwa Tecno ila baadae anapotea kama alivyopotea nice na nature.Diamond wa nitarejea sio huyu wa nitampata wapi,kwakuwa una kitecno hauwezi tambua naongea nini.

kwakuwa wewe ni kilaza na mchumia tumbo hauwezi kujua namaanisha nini kati ya kushuka kimziki kwa sasa,kufanya maongezi na p-square na kutupiwa jini kwa mama diomond,endelea kutumia tumbo kufikiri.
 

Umepata mtu wa kukuelimisha, yet hauko tayari.!

chige kama vp endelea mpa elimu huyu
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma sana mzazi.Hakuna aliyekua anapendwa kama Nature, mimi mwenyewe nilikua namkubali sana lakini kwa sasa upepo umehama kwake.
Tatizo ni watu hawataki kuubali ukweli, hilo tu.Ukishaelewa hilo wala usipate nao taabu tena.

Hawanipi tabu hao,wamelewa na vi-tecno vya kuja kumtetea boss wao.Na asije akachuzwa na p-square mama kwanza fame baadae.
 
Kwanza nikuambie jambo moja! Uwezo wako kichwani ni mdogo sana na wala huwezi kujilinganisha na mimi hata kwa robo kwahiyo ni mpumbavu tu ndie anaweza kuamini mtu kama chige eti anaweza kununuliwa techno hususani kama hoja hiyo inatolewa na loser anayeamini katika ushirikina coz' inafahamika wazi watu wanaoamini katika ushirikina, by default, wana uwezo mdogo wa kufikiri! Hilo moja, pili hoja ipo hapa:
Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
Nimekuhoji:
Jibu hizo hoja nilizokuuliza kama huna jibu piga kimya kwa sababu mtu anayeongelea masuala ya majini dunia ya leo ni loser asiye na uwezo wowote wa kufikiri! Habari kwamba cjui unamaanisha hivi mara vile kwangu are just pieces of written masturbation!
 
Sijui huu ugonjwa wa mapovu utaisha lini! kitu kidogo watu wamepandishiana! jamani we are great thinkers.

Hahahaaa, wewe hujui tu ila ligi kama hizi raha sana.
 
Hawanipi tabu hao,wamelewa na vi-tecno vya kuja kumtetea boss wao.Na asije akachuzwa na p-square mama kwanza fame baadae.
:rofl::target::kev::juggle::bolt::rapture::flock::lock1::attention::bump2::flame::llama::violin::majani7::A S-confused1::llama::roll::tea::frusty: :target::llama::llama::flock::lock1::attention::kev::juggle::bolt:
 
Umepata mtu wa kukuelimisha, yet hauko tayari.!

chige kama vp endelea mpa elimu huyu
Huyu ni wa kumpuuza tu na kuendelea kumjibu ni kumpa hadhi ambayo wala hastahili... mtu ukimsikia anakimbilia kusema "hawa wamenunuliwa...!" fahamu ameshaishiwa hoja! Hapa nakula popcorn huku nikifuatilia tuzo taratiiiiiiiiiiiibu nikiwaacha wehu wanaoamini mtu wakati anapiga show za kwenye vumbi ndo alikuwa juu na sasa anapiga show za kimataifa, ndo ameshuka!!!!
 
Msameheni tu huyo king kong ni matatizo ya kimaisha yanamfrustrate kiasi kwamba anachukia kila mtu hajaanza leo kuomba dua mbaya kwa Diamond ni miaka sasa.

Lowassa alisema tatizo la ukosefu wa ajira ni bomu litalolipuka muda wowote ndio kama hivi, mtu anakuwa nachuki mpaka inageuka kama sumu inaanza kumtafuna nna uhakika ata nje ya jf anakaa anapata shida na watu waliofanikiwa hivi hivi, hii ni mbya sana badala vijana tujifunze kwa waliofanikiwa inakuwa ni msiba kwwtu.

Ana ndugu yake Matola huyu MB 8 zimemnyoosha amebakia ku-like tu waliokuja na hii huduma wamemweza sana. Naye ni hivi hivi chuki chuki wakati mwenzenu anapafom kwenye big stage ya Africa ulizeni respect anazopewa na weengine huko nje.
 
Last edited by a moderator:
matumbo kweli kichwani empty,yani nimchukie diamond kwa mafanikio gani hasa? Aisee kweli ujinga mzigo,pamoja na kushinda kwenye mitandao bado mnamuona diamond naye ni tajiri ha ha ha ha,kama diamond tajiri kina Floyd Mayweather anayeingiza show moja zaidi ya usd 30m asemeje? Pambano la floyd lijalo anaingiza usd 200m(360billions) compare na boss wenu. anayeingiza milioni 10 zinazoandikwa kwenye magazeti ya shigongo.Mie napigana mwenye porini kutafuta na si kumlamba mtu (_|_) ili niendelee kuishi mjini never.

chige nishakujibu naona marudio tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…