Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Kuna watu wanaombea diamond au ally kiba wakatike ulimi wasiimbe!!
Au kwenye ile ndege ya Malaysia wangekwepo nao!!
Au kwenye ile ndege ya Malaysia wangekwepo nao!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya wachawi maarufu hili Jukwaa huyo yumo.
Tena siku hizi kaanza hadi kuchawia afya za watu.
Na mwenzake matumbo na daata !! Yaani hao ukiwaambia wakuletee kidole cha ally kiba watakuletea tu.
DIAMOND 4 rever... wengi wanaxubili ashuke...lkn jamaa anazd kushika chat tu.....
Lilitolewa India Hospitalini
Niliwahi kusema ule msafara wake unamgharimu sana akipiga mil 10 anabak na 5
Kati ya wachawi maarufu hili Jukwaa huyo yumo.
Tena siku hizi kaanza hadi kuchawia afya za watu.
Na mwenzake matumbo na daata !! Yaani hao ukiwaambia wakuletee kidole cha ally kiba watakuletea tu.
Kwanza napenda kuwashukuru ndugu zangu kwa maoni yenu juu ya hili swala. nadhani tatizo letu kubwa hasa nchi maskini ni kuchanganya maswala haya mawili:- Siasa na Uchumi.
Hata kama wenzetu nchi zilizoendelea wao huchanganya basi utakuta siasa huingizwa tu pale panapoonekana kuna faida kwao ya kiuchumi. Uchumi ndio sura ya nchi, uchumi ndio kiwiliwiwli na na roho ya nchi kwa hiyo maamuzi yote ya siasa lazima yawe ktk kuijenga afya ya taifa na sio kinyume..
Ni kosa kubwa kuwa walafi yaani hatuchagui kinachoingia mwilini mwetu na pia ni kosa kubwa kutokula chakula bora (chenye nutrition) kwa sababu ya imani inayotokana na dhana.
Poloz,
Nakubaliana na wewe, binafsi swala la ajira lina uzito mkubwa sana kwa nchi yetu. na kulingana na mfano mdogo wa mwili hapo juu, sidhani kama kati yetu kuna mmoja wetu anayeweza kuwepo hapa na kuyazungumzia haya kama hana kazi! Ni matokeo ya hizo ajira tumeweza kuchagua nini tunachotaka kula ama kuujenga mwili wetu kwa chakula cha aina gani?.... chaguo la chakula halikutangulia kabisa mfuko wetu..yaani mapato yetu.
Kuna mbinu nyingi sana ambazo nashindwa kuelewa kwa nini viongozi (siasa) na wataalam (wachumi) wetu wameshindwa kabisa kuyatatua maswala haya kulingana na mazingira yetu. Sidhani kama elimu yao imeishia ktk kapu la taka na sasa kinachotumika ni ulafi na ubinafsi.
hata hivyo nitazidi kuchangia zaidi mada hii kila tunavyozidi kusonga mbele maanake mwanga wa mwenge wetu wa uhuru bado upo isipokuwa tunaupuuza na kutumia artificial theories ktk pango hili lenye kiza - Utandawazi.
Nadhani wewe unapaswa kupuuzwa kwa sababu badala ya kujibu hoja unaleta nonsense!! Inawezekana huna chuki lakini una mawazo ya kipuuzi kama sio ya kipumbavu! Hoja yako niliyokuwa nimeku-quote ni hiiTeam Diamond hawataki kuambiwa ukweli,Thanks Le Mutuz kwa kutuweka wazi,hao Team Diamond wamenunuliwa Tecno kuja kumtetea boss wao kwenye mitandao.
Mie sio mchumia tumbo,nahita spade a spade and not a big spoon,sijawahi kwenye nasfi yangu kumuombea mabaya diamond hata siku moja,na ukifuatilia post zangu natoa maoni kwa wasanii wote tu na kuna uzi niliuanzisha wa best naso na timbulo long tym sana kwahiyo sipo JF kwa ajili ya diamond,penye sifa patatolewa sifa.
Diamond nafagilia nyimbo zake mbili tu,Mbagala na Nitarejea zingine zote ni promo tu za magazeti na wazee wa fitina kina fela ndio maana zinapata airplay,machale kibao mwilini matozi hawaoni soo?
Muulize Dude na ripoti yake kuhusu wasanii,unataka kuniambie wewe Deo unawajua sana wasanii kuliko dude,ugonjwa wa kifua umewakamata wasanii wengi tukiwa tunaficha ndio tutazidi kuwapoteza,ukwli ndio huo wasanii wengi wameumia hata dude alishasema haya.
Please note sina chuki na msanii yeyote tanzania,nitasema ukweli daima fitina kwangu mwiko,sijapewa Tecno na msanii yeyote kuja kumtetea so mtizamo ninaoutua haupo na ushabiki wa msanii,kama diamond au msanii mwingine atafanya vizuri lazima asifiwe.
kushuka diomond lazima atakuja kushuka tu hata kama sio leo na sio diamond wasanii wote,hauwezi kuwa juu milele hiyo haiwezekani.Kuna mtu aliyekuwa anapendwa kama nature?
Cc: chige , mr gentleman , Deo Corleone , RRONDO , Ngurubhe , BestOfMyKind , nifah , Heaven on Earth
Mtu smart hawezi kuongea upuuzi kama huo! hata hivyo, nikahoji:Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
Badala ya kujibu hoja unaleta nonsense! Kama huna uwezo wa kujibu hoja basi piga kimya badala ya kuongea ujingai! Hebu jitathmini... saa chache zilizopita unasema:Sasa kushuka kimuziki, kuongea na p-square kunahusiana vp na huko kutupiwa jini unakosema? By the way, hivi tangu uanze kumuombea mabaya umeshawahi kufanya tathimini na kuona umefanikiwa kwa kiasi gani?? In addition, hivi unaamini ilikuwa ni lazima hayo maoni yako kwenye huu uzi ambao haujadili kupanda au kushuka kwake zaidi ya mleta mada kuzungumzia mkusanyo wa mkwanja??! Hebu anzia hapo kwanza... hivi sasa amefirisika/choka mbaya, au?
Muda mfupi baadae unasema:Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua
Hivi Sasa hivi ni nani kati yetu mwenye sifa za kuweza kununuliwa Techno ili aje majamvini kuongea ujinga? Yaani karne ya 21 mtu bado unaamini ushirikina...kushuka diomond lazima atakuja kushuka tu hata kama sio leo
Nadhani wewe unapaswa kupuuzwa kwa sababu badala ya kujibu hoja unaleta nonsense!! Inawezekana huna chuki lakini una mawazo ya kipuuzi kama sio ya kipumbavu! Hoja yako niliyokuwa nimeku-quote ni hiiMtu smart hawezi kuongea upuuzi kama huo! hata hivyo, nikahoji:Badala ya kujibu hoja unaleta nonsense! Kama huna uwezo wa kujibu hoja basi piga kimya badala ya kuongea ujingai! Hebu jitathmini... saa chache zilizopita unasema:Muda mfupi baadae unasema:Hivi Sasa hivi ni nani kati yetu mwenye sifa za kuweza kununuliwa Techno ili aje majamvini kuongea ujinga? Yaani karne ya 21 mtu bado unaamini ushirikina...
Ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia tumbo,ninapomaanisha kushuka kimuziki hiyo mara ya pili nilikuwa na maana ya kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki,kwa sasa kashuka kimuziki kinachombeba ni figisu za fela na promo zenu za kununuliwa Tecno ila baadae anapotea kama alivyopotea nice na nature.Diamond wa nitarejea sio huyu wa nitampata wapi,kwakuwa una kitecno hauwezi tambua naongea nini.
kwakuwa wewe ni kilaza na mchumia tumbo hauwezi kujua namaanisha nini kati ya kushuka kimziki kwa sasa,kufanya maongezi na p-square na kutupiwa jini kwa mama diomond,endelea kutumia tumbo kufikiri.
Nimekusoma sana mzazi.Hakuna aliyekua anapendwa kama Nature, mimi mwenyewe nilikua namkubali sana lakini kwa sasa upepo umehama kwake.
Tatizo ni watu hawataki kuubali ukweli, hilo tu.Ukishaelewa hilo wala usipate nao taabu tena.
Kwanza nikuambie jambo moja! Uwezo wako kichwani ni mdogo sana na wala huwezi kujilinganisha na mimi hata kwa robo kwahiyo ni mpumbavu tu ndie anaweza kuamini mtu kama chige eti anaweza kununuliwa techno hususani kama hoja hiyo inatolewa na loser anayeamini katika ushirikina coz' inafahamika wazi watu wanaoamini katika ushirikina, by default, wana uwezo mdogo wa kufikiri! Hilo moja, pili hoja ipo hapa:Ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia tumbo,ninapomaanisha kushuka kimuziki hiyo mara ya pili nilikuwa na maana ya kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki,kwa sasa kashuka kimuziki kinachombeba ni figisu za fela na promo zenu za kununuliwa Tecno ila baadae anapotea kama alivyopotea nice na nature.Diamond wa nitarejea sio huyu wa nitampata wapi,kwakuwa una kitecno hauwezi tambua naongea nini.
kwakuwa wewe ni kilaza na mchumia tumbo hauwezi kujua namaanisha nini kati ya kushuka kimziki kwa sasa,kufanya maongezi na p-square na kutupiwa jini kwa mama diomond,endelea kutumia tumbo kufikiri.
Nimekuhoji:Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
Jibu hizo hoja nilizokuuliza kama huna jibu piga kimya kwa sababu mtu anayeongelea masuala ya majini dunia ya leo ni loser asiye na uwezo wowote wa kufikiri! Habari kwamba cjui unamaanisha hivi mara vile kwangu are just pieces of written masturbation!Sasa kushuka kimuziki, kuongea na p-square kunahusiana vp na huko kutupiwa jini unakosema? By the way, hivi tangu uanze kumuombea mabaya umeshawahi kufanya tathimini na kuona umefanikiwa kwa kiasi gani?? In addition, hivi unaamini ilikuwa ni lazima hayo maoni yako kwenye huu uzi ambao haujadili kupanda au kushuka kwake zaidi ya mleta mada kuzungumzia mkusanyo wa mkwanja??! Hebu anzia hapo kwanza... hivi sasa amefirisika/choka mbaya, au?
Sijui huu ugonjwa wa mapovu utaisha lini! kitu kidogo watu wamepandishiana! jamani we are great thinkers.
:rofl::target::kev::juggle::bolt::rapture::flock::lock1::attention::bump2::flame::llama::violin::majani7::A S-confused1::llama::roll::tea::frusty:Hawanipi tabu hao,wamelewa na vi-tecno vya kuja kumtetea boss wao.Na asije akachuzwa na p-square mama kwanza fame baadae.

:target::llama::llama::flock::lock1::attention::kev::juggle::bolt:Huyu ni wa kumpuuza tu na kuendelea kumjibu ni kumpa hadhi ambayo wala hastahili... mtu ukimsikia anakimbilia kusema "hawa wamenunuliwa...!" fahamu ameshaishiwa hoja! Hapa nakula popcorn huku nikifuatilia tuzo taratiiiiiiiiiiiibu nikiwaacha wehu wanaoamini mtu wakati anapiga show za kwenye vumbi ndo alikuwa juu na sasa anapiga show za kimataifa, ndo ameshuka!!!!