Diamond Platinamuz show tatu za nguvu kwa miezi mitatu

We kila kitu kuhusu diamond unaponda tu,kakukosea nini?!

Huyo aliwahi kuwa meneja wa diamond akamtosa kisa hakujua kama ipo siku atakuwa a precious star. Sa hivi haamini anachokiona so anamaliza uchungu wake kwa namna hiyo. Jamani afu kuna yule aloanzisha ile thread ya mtaa wa pili daaah jamaa hampendi diamond sijui alishawahi kumfanyaje kila kitu ye anaponda tu mpaka huwa nahisi atakuwa Bob junior😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
Hakuna ulichojibu zaidi ya kwenda off-target... hoja yangu mimi ilikuwa ni upuuzi wa majini uliouleta na nimekuuliza unahusiana vipi na suala la Diamond kushuka na kuongea na P-Square! Kama umejibu, quote hilo jibu uweke hapa na kama huna then don't waste my time coz' huna uwezo wa ku-argue na mimi... in short, ufahamu wako mdogo sana na wala usijaribu kujilinganisha na mimi! WEKA HAPA HILO JIBU UNALOSEMA UMESHANIJIBU OTHERWISE PIGA KIMYA!
 
Muacheni kingkong uzuri tunamjua rangi zake HALISI msipate shida kabisaaaaa. Hilo swala la majini ungemuuliza Shigongo maana ndie aliye andika Unless utuhakikishie bila ukakasi hapa kuwa ni Diamond mwenyewe ndie aliyepeleka habari za mama ake kutupiwa jini kwa Shigongo. Mi huwa namshangaa mtu anayeamini habari za magazeti ya Shigongo ambayo wasomaji wake ni house girls! !
 
Last edited by a moderator:
diamond anayeingiza milioni 10 zinazoandikwa kwenye magazeti ya shigongo.Mie napigana mwenye porini kutafuta na si kumlamba mtu (_|_) ili niendelee kuishi mjini never.

chige nishakujibu naona marudio tu.
Source: Global Publisher: How Much Money Diamond Platnumz Makes - Naibuzz

Likewise:
Diamond has also been able to make millions from endorsement deals with Coca Cola and Vodacom Tanzania. His net worth is estimated to be OVER sh.70 million.
Source: Gazeti La Ijumaa Wikienda: See How Diamond Platnumz Earns His Millions
 

Wewe dogo ni wa kukuhurumia tu, kisa unamchukia Diamond unataka sote tumchukie. Mimi sina boss kwa taarifa tu.

Nilichogundua una upeo mdogo sana. Maana unachanganya vitu vingi ata haueleweki unachotaka tukielewe.
 
Last edited by a moderator:
kingkong ona aibu rafiki mkemee huyo pepo mchafu. Eti diamond ana nyimbo mbili tu nzuri!!!!!! Nyoooooooooo muziki ni kupata mashabiki wanao penda kile unachofanya, it's all about earning funs. Kama nyimbo za chibu ni mbaya kwako it's you and not our fault and we sorry for, coz hatuna cha kukusaidia. Yaani hata nyimbo ya Kesho, kizaizai, ukimuona, utampata wapi, kitorondo (to mention a few) nazo mbayaaaaaaa? ?????? eboooo ebu tutake radhi buanaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
8MB zimemuishia kwa mara nyingine huku akituacha anaodai tunanunuliwa techno tukiwa 24/7 full connected hata kama hatutumii mtandao... kweli ujinga mzigo!!!
 
Tena hicho kigezo chake kwanini Diamond ameshuka eti yeye anazipenda Mbagala na Nitarejea peke yake.. what a trash! Yaani nyimbo asipozipenda yeye, ndo basi tena!!!
 
8MB zimemuishia kwa mara nyingine huku akituacha anaodai tunanunuliwa techno tukiwa 24/7 full connected hata kama hatutumii mtandao... kweli ujinga mzigo!!!

ha ha haaaa!! Ivi kumbe ndo alichomaanisha,!?
kwamba tuna free mb za tecno!!?,

wala sina cm ya tecno.
 
Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?

Mawazo yako yana express personality yako, ni AIBU... narudia tena ni AIBU kwa mtu mzima kama wewe kuwa na perception za ajabu. Nawaonea huruma wanao, sijui watakuwa katika misingi ipi.... Poleeeeeeee!!
 
ha ha haaaa!! Ivi kumbe ndo alichomaanisha,!?
kwamba tuna free mb za tecno!!?,

wala sina cm ya tecno.
mtu anaanza kunywa viroba ndo anaingia jamvini sijui ataandika nini cha maana zaidi ya upuuzi upuuzi... yaani mtu hadi karne ya 21 bado ubongo wake umezama kwenye matope ya ushirikina!!!
 
Kuenda kinyume na Team Diamond inahitaji roho ya paka,bahati nzuri mmenikuta na mie ngangari,namshukuru mungu hadha ya 8MB naisikia kwenye bomba la mtwara,simu nayotumia ni post paid na pia modem nayotumia najisajiri unlimited bundle ya mwezi mzima.

Msinilazimishe nimkubali diamond,Msanii nayemkubali ni Best Naso,mie si Team kiba wala Team Diamond,mbona timbulo haingizi hata laki 5 ya show lakini simkubali? Kisa ukimpinga diamond unaonekana hater eti chuki ya mafanikio,mafanikio yapi? Bora hata Mr Blue anakuja vizuri kwa sasa sio huyo boss wenu aliyewanunulia tecno.

Narudia kusema tena simchukii diamond hata kidogo bali kwa sasa amechuja hali iliyopelekea kutokuwa fan wake.Vijana fanyeni kazi acheni mambo ya team sijui nani haviwasaidii kitu,tubishane kwa hoja na sio matusi maana mtasababisha thread kutiwa kufuli ambacho kitu sikitaki twendeni hoja kwa hoja.
 
Mawazo yako yana express personality yako, ni AIBU... narudia tena ni AIBU kwa mtu mzima kama wewe kuwa na perception za ajabu. Nawaonea huruma wanao, sijui watakuwa katika misingi ipi.... Poleeeeeeee!!

Utakuja kuelewa baadae,this is too big for you,you think you know me? Naaah, U've no idea who i am.
 
mtu anaanza kunywa viroba ndo anaingia jamvini sijui ataandika nini cha maana zaidi ya upuuzi upuuzi... yaani mtu hadi karne ya 21 bado ubongo wake umezama kwenye matope ya ushirikina!!!

Hauna ulijualo wewe,upo hapa kishabiki tu kupambana na watu wataotoa maoni hasi juu ya boss wenu.Huyo boss ni zaidi ya vigagula wa geita,muulize shigongo kwanini jini limemkosa likaenda kwa mama yake? Mbona ilo jini limempiga kipindi hiki anapotaka kufanya collabo na p-square.
 
Leo kijana yupo Nigeria kuipeperusha bendera ya muziki wa Tanzania



 
chige plzzz save your energy, do u think hawaelewi kuwa Diamond is untouchable??? NO NO NO wanaelewa vizuri sana ila sasa tatizo linakuja wanaanzaje kukubali??? hivi unahitaji kuwa psychiatrist kujua upungufu wa hawa watu katika akili zao?? huitaji kujichosha, sikia alivyosema'' diamond wa nitajerea sio huyu wa nitampata wapi'' this means akijaribu kusema wakati ule wa nitarejea alikuwa amefika mbali zaidi ya sasa. hivi mtu kama huyu why kupoteza muda wako kumuelewesha?? labda kama unataka kujipatia Phd yako ya psychiatric ndio udeal na vichwa vigumu kama hivi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe jamaa si bure lazima utakuwa mchawi au mganga wa kienyeji maaana unamini sana ushirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…