wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Baraka da prince -so fine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kila kitu kuhusu diamond unaponda tu,kakukosea nini?!
Hakuna ulichojibu zaidi ya kwenda off-target... hoja yangu mimi ilikuwa ni upuuzi wa majini uliouleta na nimekuuliza unahusiana vipi na suala la Diamond kushuka na kuongea na P-Square! Kama umejibu, quote hilo jibu uweke hapa na kama huna then don't waste my time coz' huna uwezo wa ku-argue na mimi... in short, ufahamu wako mdogo sana na wala usijaribu kujilinganisha na mimi! WEKA HAPA HILO JIBU UNALOSEMA UMESHANIJIBU OTHERWISE PIGA KIMYA!matumbo kweli kichwani empty,yani nimchukie diamond kwa mafanikio gani hasa? Aisee kweli ujinga mzigo,pamoja na kushinda kwenye mitandao bado mnamuona diamond naye ni tajiri ha ha ha ha,kama diamond tajiri kina Floyd Mayweather anayeingiza show moja zaidi ya usd 30m asemeje? Pambano la floyd lijalo anaingiza usd 200m(360billions) compare na boss wenu. anayeingiza milioni 10 zinazoandikwa kwenye magazeti ya shigongo.Mie napigana mwenye porini kutafuta na si kumlamba mtu (_|_) ili niendelee kuishi mjini never.
chige nishakujibu naona marudio tu.
diamond anayeingiza milioni 10 zinazoandikwa kwenye magazeti ya shigongo.Mie napigana mwenye porini kutafuta na si kumlamba mtu (_|_) ili niendelee kuishi mjini never.
chige nishakujibu naona marudio tu.
Source: Global Publisher: How Much Money Diamond Platnumz Makes - NaibuzzHow much does Diamond Platnumz charge per show?
For performances in Tanzania, Diamond charges a small fee of ksh350,000 per show. When he is outside his home country he wont take anything less than ksh2 million per show ($25,000). He was able to make ksh8.5 million ($100,000) for a performance in Kigali Rwanda.
Source: Gazeti La Ijumaa Wikienda: See How Diamond Platnumz Earns His MillionsDiamond has also been able to make millions from endorsement deals with Coca Cola and Vodacom Tanzania. His net worth is estimated to be OVER sh.70 million.
matumbo kweli kichwani empty,yani nimchukie diamond kwa mafanikio gani hasa? Aisee kweli ujinga mzigo,pamoja na kushinda kwenye mitandao bado mnamuona diamond naye ni tajiri ha ha ha ha,kama diamond tajiri kina Floyd Mayweather anayeingiza show moja zaidi ya usd 30m asemeje? Pambano la floyd lijalo anaingiza usd 200m(360billions) compare na boss wenu. anayeingiza milioni 10 zinazoandikwa kwenye magazeti ya shigongo.Mie napigana mwenye porini kutafuta na si kumlamba mtu (_|_) ili niendelee kuishi mjini never.
chige nishakujibu naona marudio tu.
Tena hicho kigezo chake kwanini Diamond ameshuka eti yeye anazipenda Mbagala na Nitarejea peke yake.. what a trash! Yaani nyimbo asipozipenda yeye, ndo basi tena!!!kingkong ona aibu rafiki mkemee huyo pepo mchafu. Eti diamond ana nyimbo mbili tu nzuri!!!!!! Nyoooooooooo muziki ni kupata mashabiki wanao penda kile unachofanya, it's all about earning funs. Kama nyimbo za chibu ni mbaya kwako it's you and not our fault and we sorry for, coz hatuna cha kukusaidia. Yaani hata nyimbo ya Kesho, kizaizai, ukimuona, utampata wapi, kitorondo (to mention a few) nazo mbayaaaaaaa? ?????? eboooo ebu tutake radhi buanaaaaa.
8MB zimemuishia kwa mara nyingine huku akituacha anaodai tunanunuliwa techno tukiwa 24/7 full connected hata kama hatutumii mtandao... kweli ujinga mzigo!!!
Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
mtu anaanza kunywa viroba ndo anaingia jamvini sijui ataandika nini cha maana zaidi ya upuuzi upuuzi... yaani mtu hadi karne ya 21 bado ubongo wake umezama kwenye matope ya ushirikina!!!ha ha haaaa!! Ivi kumbe ndo alichomaanisha,!?
kwamba tuna free mb za tecno!!?,
wala sina cm ya tecno.
Mawazo yako yana express personality yako, ni AIBU... narudia tena ni AIBU kwa mtu mzima kama wewe kuwa na perception za ajabu. Nawaonea huruma wanao, sijui watakuwa katika misingi ipi.... Poleeeeeeee!!
mtu anaanza kunywa viroba ndo anaingia jamvini sijui ataandika nini cha maana zaidi ya upuuzi upuuzi... yaani mtu hadi karne ya 21 bado ubongo wake umezama kwenye matope ya ushirikina!!!
Hilo swali nilishawahi kumuuliza zamani sana na hajawahi kujibu lakini lililo wazi ni kwamba hata avatar yake inasadifu hoja zake!
chige plzzz save your energy, do u think hawaelewi kuwa Diamond is untouchable??? NO NO NO wanaelewa vizuri sana ila sasa tatizo linakuja wanaanzaje kukubali??? hivi unahitaji kuwa psychiatrist kujua upungufu wa hawa watu katika akili zao?? huitaji kujichosha, sikia alivyosema'' diamond wa nitajerea sio huyu wa nitampata wapi'' this means akijaribu kusema wakati ule wa nitarejea alikuwa amefika mbali zaidi ya sasa. hivi mtu kama huyu why kupoteza muda wako kumuelewesha?? labda kama unataka kujipatia Phd yako ya psychiatric ndio udeal na vichwa vigumu kama hivi.Huyu ni wa kumpuuza tu na kuendelea kumjibu ni kumpa hadhi ambayo wala hastahili... mtu ukimsikia anakimbilia kusema "hawa wamenunuliwa...!" fahamu ameshaishiwa hoja! Hapa nakula popcorn huku nikifuatilia tuzo taratiiiiiiiiiiiibu nikiwaacha wehu wanaoamini mtu wakati anapiga show za kwenye vumbi ndo alikuwa juu na sasa anapiga show za kimataifa, ndo ameshuka!!!!
Wewe jamaa si bure lazima utakuwa mchawi au mganga wa kienyeji maaana unamini sana ushirikina.Hauna ulijualo wewe,upo hapa kishabiki tu kupambana na watu wataotoa maoni hasi juu ya boss wenu.Huyo boss ni zaidi ya vigagula wa geita,muulize shigongo kwanini jini limemkosa likaenda kwa mama yake? Mbona ilo jini limempiga kipindi hiki anapotaka kufanya collabo na p-square.