Hauna ulijualo wewe,upo hapa kishabiki tu kupambana na watu wataotoa maoni hasi juu ya boss wenu.Huyo boss ni zaidi ya vigagula wa geita,muulize shigongo kwanini jini limemkosa likaenda kwa mama yake? Mbona ilo jini limempiga kipindi hiki anapotaka kufanya collabo na p-square.
Huna jipya loser na ndo maana hata mawazo yako ni ya kishirikina shirikina... eti bila aibu jini limemkosa likampiga mama ake... what a nonsense! Usidhani kila mtu anaamini ushirikina kwahiyo hizo habari zako za majini kaongee na shigongo na sio mtu kama mimi! By the way, hayo maoni uliyotoa wewe yapo wapi? Haya:Hauna ulijualo wewe,upo hapa kishabiki tu kupambana na watu wataotoa maoni hasi juu ya boss wenu.Huyo boss ni zaidi ya vigagula wa geita,muulize shigongo kwanini jini limemkosa likaenda kwa mama yake? Mbona ilo jini limempiga kipindi hiki anapotaka kufanya collabo na p-square.
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kuongelea habari za majini halafu akasema ametoa maoni? Hebu hizo takataka zako za masuaala ya majini wapelekee wagoroka wenzako ndo mnaweza kuelewana. Halafu nilikuwa sifahamu kwamba nabishana na mtu anayesoma magazeti ya Shigongo ... so why should i argue with sub standard mind!!!Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
kamateni hili shirikina... Fukuzeni huko mitaani kila mtakapoliona manake hadi karne ya 21 bado ubongo wake unazungumzia masuala ya majini View attachment 232805utakuja kuelewa baadae,this is too big for you,you think you know me? Naaah, u've no idea who i am.
chige plzzz save your energy, do u think hawaelewi kuwa Diamond is untouchable??? NO NO NO wanaelewa vizuri sana ila sasa tatizo linakuja wanaanzaje kukubali??? hivi unahitaji kuwa psychiatrist kujua upungufu wa hawa watu katika akili zao?? huitaji kujichosha, sikia alivyosema'' diamond wa nitajerea sio huyu wa nitampata wapi'' this means akijaribu kusema wakati ule wa nitarejea alikuwa amefika mbali zaidi ya sasa. hivi mtu kama huyu why kupoteza muda wako kumuelewesha?? labda kama unataka kujipatia Phd yako ya psychiatric ndio udeal na vichwa vigumu kama hivi.
HAkuna aliyekulazimisha umkubali Diamondo wewe mwehu... mimi hoja yangu na wewe ni suala ya mawazo yako potofu na mawazo kale ya kuzungumzia masuala ya ushirikina...! Umchukue Diamond au usimchukie, that's none of business... binafsi halinihusu lakini ninapoona mtu amejawa mawazo ya kishirikina kama wewe siwezi kukufumbia macho coz' watu aina yako wanaoamini kwenye mambo ya kipumbavu ndio wanasababisha hata albino wasiishi kwa amani hivi sasa!Kuenda kinyume na Team Diamond inahitaji roho ya paka,bahati nzuri mmenikuta na mie ngangari,namshukuru mungu hadha ya 8MB naisikia kwenye bomba la mtwara,simu nayotumia ni post paid na pia modem nayotumia najisajiri unlimited bundle ya mwezi mzima.
Msinilazimishe nimkubali diamond,Msanii nayemkubali ni Best Naso,mie si Team kiba wala Team Diamond,mbona timbulo haingizi hata laki 5 ya show lakini simkubali? Kisa ukimpinga diamond unaonekana hater eti chuki ya mafanikio,mafanikio yapi? Bora hata Mr Blue anakuja vizuri kwa sasa sio huyo boss wenu aliyewanunulia tecno.
Narudia kusema tena simchukii diamond hata kidogo bali kwa sasa amechuja hali iliyopelekea kutokuwa fan wake.Vijana fanyeni kazi acheni mambo ya team sijui nani haviwasaidii kitu,tubishane kwa hoja na sio matusi maana mtasababisha thread kutiwa kufuli ambacho kitu sikitaki twendeni hoja kwa hoja.
Nimekuwa nikiheshimu sana michango yako linapokuja swala na mziki wa Bongo flavor.
Ila kwa hapa duh!
Nimebaki na question mark.!!
" So what do the charts tell us?I want to make one main point, which is this: in several areas of superstition / supernatural belief, Tanzania is way ahead of the rest of Africa.Ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia tumbo,ninapomaanisha kushuka kimuziki hiyo mara ya pili nilikuwa na maana ya kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki,kwa sasa kashuka kimuziki kinachombeba ni figisu za fela na promo zenu za kununuliwa Tecno ila baadae anapotea kama alivyopotea nice na nature.Diamond wa nitarejea sio huyu wa nitampata wapi,kwakuwa una kitecno hauwezi tambua naongea nini.
kwakuwa wewe ni kilaza na mchumia tumbo hauwezi kujua namaanisha nini kati ya kushuka kimziki kwa sasa,kufanya maongezi na p-square na kutupiwa jini kwa mama diomond,endelea kutumia tumbo kufikiri.
Ukweli upi? Huu>>>Tatizo Team Diamond hamtaki kuambiwa ukweli,mkiambiwa ukweli mnakimbilia oh wivu,wivu my ass? Kama kumuonea wivu mtu aliyefanikiwa ningemuonea wivu bakhresa,mo,mengi au patrick ngowi,tafuta thread inayomzungumzia patrick ngowi bilionea mtoto uone nilivyomsifia.Mimi sio shabiki maandazi wa kupewa tecno kuja kupamba watu JF,insta au FB.
Huu ni ukweli au ni ujuha??? Utaishia na hoja zako chakavu hivyo hivyo za techno.. loser!Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
Huna jipya loser na ndo maana hata mawazo yako ni ya kishirikina shirikina... eti bila aibu jini limemkosa likampiga mama ake... what a nonsense! Usidhani kila mtu anaamini ushirikina kwahiyo hizo habari zako za majini kaongee na shigongo na sio mtu kama mimi! By the way, hayo maoni uliyotoa wewe yapo wapi? Haya:Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kuongelea habari za majini halafu akasema ametoa maoni? Hebu hizo takataka zako za masuaala ya majini wapelekee wagoroka wenzako ndo mnaweza kuelewana. Halafu nilikuwa sifahamu kwamba nabishana na mtu anayesoma magazeti ya Shigongo ... so why should i argue with sub standard mind!!!
Hakuna atakayekuelewa hapa wewe kizazi cha ushirikina! Nyie ndio watu mnaolitia aibu hili taifa hadi linasifika kwa ushirikina kutokana na mawazo yenu ya hovyo hovyo... mtoto anaumwa badala ya kumkimbiza hopsitali mnasema ametupiwa majini.... what a nonsense!Mkuu utakuja kunielewa tu hapa nilikuwa nazungumzia nini,nenda congo kaulize historia ya fali ipupa au koffie olomide halafu utajua nazungumzia nini.
Mkuu kwanini usijikite zaidi kwenye changamoto za kimuziki kuliko imani za kishirikina.?Mkuu utakuja kunielewa tu hapa nilikuwa nazungumzia nini,nenda congo kaulize historia ya fali ipupa au koffie olomide halafu utajua nazungumzia nini.
Jisikie aibu kuhubiri ushirikina! na jinsi ulivyo na akili fupi, madai yako umesema Diamond akitupiwa jini... sasa tangu lini mtu akajitupia jini mwenyewe? Hivi huwa unafikiri kwa kutumia akili au unatumia nini hasa?Boss wenu kabugi asiwaige p-square,fally ipupa au koffi olomide.Kesho siku ya wanawake duniani,mama kwanza fame baadae.
" So what do the charts tell us?I want to make one main point, which is this: in several areas of superstition / supernatural belief, Tanzania is way ahead of the rest of Africa.
According to this survey, 93% of Tanzanians believe in witchcraft, 80% that some people can cast spells, and 96% in evil spirits. In all three cases, Tanzania leads in these beliefs. In fact, compared to most of the surveyed countries, Tanzania leads by a long distance."
Unajua nlikua najua wanatusingizia, ila wewe umenifanya niwaamini. Unawezaje kujenga hoja huku ukiwa na neno " jini " ndani ya maelezo yako? Upo darasa la ngapi asee? Shule gani hiyo ambayo mnaambiwa kuna majini na mkatumie kujengea hoja JF?
Hivi unavoonesha ujinga hivi kwa kumponda Chibu sisi " wenye akili " tukikuacha nani ataonekana mjinga? Hatujatumwa hata na Nasibu, tunajaribu kuwanyamazisha wajinga wajinga wachache kama nyinyi ili msiiharibie sifa nchi yetu. Akili zipi zinaweza kusema kua nyimbo kali za diamond ni mbili tu? Wamarekani walimuona wakamnominate, wa-nigeria, wa-europe, wa-nakadhalika wamemuona yeye, tena hawajawahi kusikia hata hizo ntarejea wakasema jamaa mkali. Wasanii wote wakubwa ( neno hapa ni wakubwa) wa Tz wanamkubali dogo mkali, wewe nani bana? Nilikutana na mtu mwaka 2012 mwanzoni akaniambia kufikia december huyu dogo atakua chali, lakini wapii 2015 yupo lagos anatumbuiza kwene tuzo za movies. Kitu kimoja nilichokiona kwa diamond licha ya mapenzi na muziki ni kua jamaa ana akili sana, nimefuatilia interviews zake nyingi yupo makini kuliko wasanii wengi wa tz. Utabaki kusema atashuka halafu yeye anafanikiwa zaidi. And one more thing ile kusema diamond ana sauti nzuri sana tuliisemaga wakati anatoka coz ni sifa za ma underground kuwapa moyo ili wasikate tamaa na gemu, siku hizi tunasema " diamond anaitangaza nchi yetu vizuri " coz hizo ndo lines wanazostahili ma-legend.
Na kuhusu techno mdogo wangu nenda ka-google Porche Design P'9983, hizo za laini mbili tuliambiwaga ni fake.
Tatizo Team Diamond hamtaki kuambiwa ukweli,mkiambiwa ukweli mnakimbilia oh wivu,wivu my ass? Kama kumuonea wivu mtu aliyefanikiwa ningemuonea wivu bakhresa,mo,mengi au patrick ngowi,tafuta thread inayomzungumzia patrick ngowi bilionea mtoto uone nilivyomsifia.Mimi sio shabiki maandazi wa kupewa tecno kuja kupamba watu JF,insta au FB.
HAkuna aliyekulazimisha umkubali Diamondo wewe mwehu... mimi hoja yangu na wewe ni suala ya mawazo yako potofu na mawazo kale ya kuzungumzia masuala ya ushirikina...! Umchukue Diamond au usimchukie, that's none of business... binafsi halinihusu lakini ninapoona mtu amejawa mawazo ya kishirikina kama wewe siwezi kukufumbia macho coz' watu aina yako wanaoamini kwenye mambo ya kipumbavu ndio wanasababisha hata albino wasiishi kwa amani hivi sasa!
Unafikiri mie tatizo langu na huyu mwehu unadhani ni suala la uwezo wa Diamond? Diamond anajitangaza mwenyewe na kazi zake labda kama kuna wehu wanaoamini kwamba, hizi tour anazopata kwenda ku-perform nje zinatokana na waandaji kuingia JF na kuona jinsi Diamond anavyosifiwa!! Mimi hoja yangu na huyu loser King Kong III ni imani zake za kishirikina! Watu kama hawa ndio wanasababisha ndugu zetu Albino wasiishi kwa amani ndani ya nchi yao huru! Watu kama hawa ndio wanaliaibisha taifa letu hadi lisifikane kwamba ni taifa linalohusudu ushirikina! Yaani bila aibu wala soni anataja wasanii wti walioua mama zao... sasa mwehu kama huyu sio wa kumfumbia macho... hizo habari zake za kishitikina apeleke huko kwa washirikina wenzake! Mie sikuwahi kufikiria kabisa kwamba humu jamvini kuna watu wanaoweza kuhesabu vifo vilivyotokea eti kwa sababu za kishirikina!!!chige plzzz save your energy, do u think hawaelewi kuwa Diamond is untouchable??? NO NO NO wanaelewa vizuri sana ila sasa tatizo linakuja wanaanzaje kukubali??? hivi unahitaji kuwa psychiatrist kujua upungufu wa hawa watu katika akili zao?? huitaji kujichosha, sikia alivyosema'' diamond wa nitajerea sio huyu wa nitampata wapi'' this means akijaribu kusema wakati ule wa nitarejea alikuwa amefika mbali zaidi ya sasa. hivi mtu kama huyu why kupoteza muda wako kumuelewesha?? labda kama unataka kujipatia Phd yako ya psychiatric ndio udeal na vichwa vigumu kama hivi.
i wish kweli ungekuwa unaongea ukweli wala kusingekuwa na tatizo, ila vitu unavyoongea vinatia mashaka na thinking capacity yako, jini alitupiwa mond likamkosa likaenda kwa mama?? uliliona?? au shigongo alikuambia?? ndio maana mond akaenda kuonana na p2?? sasaaa hapa unachoulizwa na chige, onesha connection ya KUSHUKA kwa mond, JINI, P2 na MAMA wa mond, alafu hivi majini hutolewa INDIA??
Leo ndo unaona matusi? We hujaniita mchumia tumbo mimi? nimeshawahi kukuomba msaada wewe hadi uniambie mchumia tumbo? Wewe sio ndo umenianza kuniita mimi kilaza! Babako unaweza kumuita kilaza au mchumia tumbo kama unaamini sio matusi? Kizazi cha ushirikina weee!Bishana kwa hoja usiingize matusi uzi utafungwa,kama mlizoea kuwapelekesha team kiba hapa mmenoa mie ni jeshi la mtu mmoja.
Wewe... hakuna loser kama wewe anayesoma magazeti ya shingongo humu... hayo ni magazeti yenu nyie washirikana...! By the way, si we mwenyewe ndo umesema jini alitupiwa Diamond likamkosa likampata mama yake sasa hapo mshirikina ni Diamond au nyie ambao mlitupa hilo jina hadi mnakuwa na data zake??Ukweli mchungu sana kuusikia,kupambana na team ya diamond inahitaji ujasiri,nimelivulia njuga,muulizeni boss wenu aliyefanya interview na shigongo.
Hakuna atakayekuelewa hapa wewe kizazi cha ushirikina! Nyie ndio watu mnaolitia aibu hili taifa hadi linasifika kwa ushirikina kutokana na mawazo yenu ya hovyo hovyo... mtoto anaumwa badala ya kumkimbiza hopsitali mnasema ametupiwa majini.... what a nonsense!