King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mimi na wewe ni nani ambae akili yake haiwezi kwenda mbele? Ulitaka niishie wapi wakati from the beginning hoja ambayo mara zote nimekuuliza ni kuhusu imani zako za kishirikna! Na ili kukazia hoja yako, ukaendelea kuwataja wanamuziki wengi kama akina Olomide, Fally Pupa na p-Square kwamba waliwaua mama zao halafu hutaki tena nijikite kwenye hoja ya msingi unataka nizungumzie nini?Nimekuuliza unahusisha vp kushuka kwa Diamond na suala la yeye kukutana na P-Square na mama ake kutupiwa jini, umeshajibu?
Hata hivyo, haishangaz coz' watu wenye akili fupi wote kila aina ya mafanikio lazima watahusisha na uchawi! Yaani mama wa msani akifa, watu wenye akili fupi kama wewe lazima mtahusisha na ushirikina... halafu unatarajia uwe na uwezo wa kwenda mbele wewe wakati ubongo wako umeoza kwa imani za kijinga!!
Halafu ulivyo na akili fupi... huyo Diamond na P-Square walikuwa wala hawana ukaribu wowote! Lakini kutokana na akili zako fupi, unaamini P-Square walipokutana na Diamond wakamwambia siri ya mafanikio yao ni kwavile walimuua mama yao... hivi we una akili kweli wewe au una akili zinazokutosha kuvaa nguo peke yake ili usitoke uchi? Hebu nenda mbela
idawa umeona? Jamaa kanisumbua tangia jana umeona issue yenyewe niliyouliza iliyomfanya apanic? Kumbe ulikuwa unaelewa kwanini haukusema tangia usiku? Hivi unaelewa akili za wasanii wetu wa kiafrika? Ukiwagusia issue za kishirikina wanapanic kweli ingawa wao ndio wadau wa uchawi,kila siku wanakamatana uchawi,chege kafunga kitambaa cha kuenzi msiba wa mez b lakini baada ya kutoa majibu amepanic na kuanza kumtukana maimasa,mtu mshirikina akiumbuliwa uwa anapanic sana....waambie maboss wenu waache uchawi na ushirikina.
Last edited by a moderator: