Diamond Platinamuz show tatu za nguvu kwa miezi mitatu

Diamond Platinamuz show tatu za nguvu kwa miezi mitatu

Mimi na wewe ni nani ambae akili yake haiwezi kwenda mbele? Ulitaka niishie wapi wakati from the beginning hoja ambayo mara zote nimekuuliza ni kuhusu imani zako za kishirikna! Na ili kukazia hoja yako, ukaendelea kuwataja wanamuziki wengi kama akina Olomide, Fally Pupa na p-Square kwamba waliwaua mama zao halafu hutaki tena nijikite kwenye hoja ya msingi unataka nizungumzie nini?Nimekuuliza unahusisha vp kushuka kwa Diamond na suala la yeye kukutana na P-Square na mama ake kutupiwa jini, umeshajibu?

Hata hivyo, haishangaz coz' watu wenye akili fupi wote kila aina ya mafanikio lazima watahusisha na uchawi! Yaani mama wa msani akifa, watu wenye akili fupi kama wewe lazima mtahusisha na ushirikina... halafu unatarajia uwe na uwezo wa kwenda mbele wewe wakati ubongo wako umeoza kwa imani za kijinga!!

Halafu ulivyo na akili fupi... huyo Diamond na P-Square walikuwa wala hawana ukaribu wowote! Lakini kutokana na akili zako fupi, unaamini P-Square walipokutana na Diamond wakamwambia siri ya mafanikio yao ni kwavile walimuua mama yao... hivi we una akili kweli wewe au una akili zinazokutosha kuvaa nguo peke yake ili usitoke uchi? Hebu nenda mbela

idawa umeona? Jamaa kanisumbua tangia jana umeona issue yenyewe niliyouliza iliyomfanya apanic? Kumbe ulikuwa unaelewa kwanini haukusema tangia usiku? Hivi unaelewa akili za wasanii wetu wa kiafrika? Ukiwagusia issue za kishirikina wanapanic kweli ingawa wao ndio wadau wa uchawi,kila siku wanakamatana uchawi,chege kafunga kitambaa cha kuenzi msiba wa mez b lakini baada ya kutoa majibu amepanic na kuanza kumtukana maimasa,mtu mshirikina akiumbuliwa uwa anapanic sana....waambie maboss wenu waache uchawi na ushirikina.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nimekuambia wewe una akili fupi!!!! Nioneshe post yangu moja nilyozungumzia magazeti ya Shigongo kama sio we mwenyewe na akili zako fupi ndie umeleta habari za magazeti ya Shigongo! Onesha hiyo post hapa, wewe moja ya post zako kuhusu Shigongo, ni hii hapa!
Haya sasa, onesha post yangu moja ambayo nimefanya reference magazeti ya Shigongo!!

Ubongo wako mfupi kama maisha ya funza,ume refer diamond anaingiza sh ngapi kwa show kutoka magazeti ya shigongo na umeweka link kabisa.Usiende ku edit mkuu itaonyesha ume edit saa ngapi hata hivyo nisha iprint screen kwa laptop.

Story ya diamond kutpiwa jini ililetwa humu JF,jaribu kuitafuta utaiona,story za shigongo huwa zinaletwa humu nyingi sana huwa sizifuati GPL site.
 
idawa umeona? Jamaa kanisumbua tangia jana umeona issue yenyewe niliyouliza iliyomfanya apanic? Kumbe ulikuwa unaelewa kwanini haukusema tangia usiku? Hivi unaelewa akili za wasanii wetu wa kiafrika? Ukiwagusia issue za kishirikina wanapanic kweli ingawa wao ndio wadau wa uchawi,kila siku wanakamatana uchawi,chege kafunga kitambaa cha kuenzi msiba wa mez b lakini baada ya kutoa majibu amepanic na kuanza kumtukana maimasa,mtu mshirikina akiumbuliwa uwa anapanic sana....waambie maboss wenu waache uchawi na ushirikina.
Eti nime-panic... hebu fuatilia mlolongo ulivyoanza! Post yako ya kwanza hii hapa:
Diamond kashashuka kimuziki na yeye kashalitambua ndio maana alienda naijeria kuongea na p-square ili wampe siri ya mchezo! Vp Jini alilotupiwa mama yake lishatoka?
BInafsi nilidhani naongea na mtu smart anayeweza kutetea anachokisema, nikakuuliza:
Sasa kushuka kimuziki, kuongea na p-square kunahusiana vp na huko kutupiwa jini unakosema? By the way, hivi tangu uanze kumuombea mabaya umeshawahi kufanya tathimini na kuona umefanikiwa kwa kiasi gani?? In addition, hivi unaamini ilikuwa ni lazima hayo maoni yako kwenye huu uzi ambao haujadili kupanda au kushuka kwake zaidi ya mleta mada kuzungumzia mkusanyo wa mkwanja??! Hebu anzia hapo kwanza... hivi sasa amefirisika/choka mbaya, au?
Inaelekea haya maswali yangu ni mazito sana kwa mtu mwenye akili fupi na hadi sasa hujajibu! Mdau mmoja, kwa kufahamu kwamba akili yako fupi, akakupa jibu linalowafaa watu wenye akili fupi! Jibu lake hili hapa:
Lilitolewa India Hospitalini
Nami nikaamua kukazia, chige huyu hapa:
Una lingine muuliza swali???
Badala yake, unaingia jamvini badala ya kujibu hoja unaaza matusi na kejeli... kufuatilia huo mlolongo, hiki ndicho ukaja kujibu:
Team Diamond hawataki kuambiwa ukweli,Thanks Le Mutuz kwa kutuweka wazi,hao Team Diamond wamenunuliwa Tecno kuja kumtetea boss wao kwenye mitandao.

Mie sio mchumia tumbo,nahita spade a spade and not a big spoon,sijawahi kwenye nasfi yangu kumuombea mabaya diamond hata siku moja,na ukifuatilia post zangu natoa maoni kwa wasanii wote tu na kuna uzi niliuanzisha wa best naso na timbulo long tym sana kwahiyo sipo JF kwa ajili ya diamond,penye sifa patatolewa sifa.

Cc: chige , mr gentleman , Deo Corleone , RRONDO , Ngurubhe , BestOfMyKind , nifah , Heaven on Earth
Kuonesha kwamba ulikusudia kutoa kashfa na kejeli kwa watu badala ya kujibu hoja, post yako iliyofuatia hii hapa:
Ndio tatizo la kufikiri kwa kutumia tumbo,ninapomaanisha kushuka kimuziki hiyo mara ya pili nilikuwa na maana ya kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki,kwa sasa kashuka kimuziki kinachombeba ni figisu za fela na promo zenu za kununuliwa Tecno ila baadae anapotea kama alivyopotea nice na nature.Diamond wa nitarejea sio huyu wa nitampata wapi,kwakuwa una kitecno hauwezi tambua naongea nini.

kwakuwa wewe ni kilaza na mchumia tumbo hauwezi kujua namaanisha nini kati ya kushuka kimziki kwa sasa,kufanya maongezi na p-square na kutupiwa jini kwa mama diomond,endelea kutumia tumbo kufikiri.
Ni mtu mwenye akili fupi tu ndie anaweza kupoteza muda na kusema XYZ mmenunuliwa techno wakati hakuna hata mmoja unayemfahamu hapa! Kwahiyo hoja inabaki pale pale... achana na akili za hovyo hovyo!! Kama wewe unaamini eti wasanii wa africa wanatumia uchawi ni wewe na hizo akili zako fupi!
 
Mkuu King Kong ebu twende taratibu naona kina chige hawakuelewi inaonekana una hoja pengine..

Ebu tueleweshe sisi pengine tutakuelewa, ebu nisaidia kwa kujibu haya maswali.

Diamond alitupiwa jini na nani? na lilipomkosa likampata mama yake, kwa nini yeye utuambie ndio mshirikina? Yani kwa sababu gani unamwita aliyetupiwa jini mshirikina na aliyemtupia unamwiteje?

Umesema P Squaire walimpa siri ya mafanikio ebu tusaidie kutueleza hiyo SIRI ni hipi? na wewe uliwezaje kuifahamu hiyo SiRI kati ya Diamond na PSquaire ?

Kuhusu kusema alikiri kwenye gazeti la Shigongo ngojea nikupe nukuu alafu unionyeshe alipokiri.....

.................“Mama bado yuko kwenye matibabu nchini India na hali yake kusema kweli si nzuri, naomba hapo nisizungumzie sana. Kuhusu masuala ya kutupiwa jini,
mimi namuamini Mungu, naamini mama atapona.
“Inaniuma kila siku ninaposikia watu wanaongea vitu ambavyo si kweli na kwa namna nyingine nashindwa kujibu vitu ambavyo mwenyewe sivijui hivyo yote namwachia Mungu, maana yeye ndiye
jibu la yote."..........

Nipo hapa na Techno yangu line 4 hapa nasubiria majibu yako.
 
Ubongo wako mfupi kama maisha ya funza,ume refer diamond anaingiza sh ngapi kwa show kutoka magazeti ya shigongo na umeweka link kabisa.Usiende ku edit mkuu itaonyesha ume edit saa ngapi hata hivyo nisha iprint screen kwa laptop.

Story ya diamond kutpiwa jini ililetwa humu JF,jaribu kuitafuta utaiona,story za shigongo huwa zinaletwa humu nyingi sana huwa sizifuati GPL site.
Bwah! Bwah! Bwah! Bwah! Yaani kwa post yako hii tayari umeshathibitisha kwamba kweli wewe ni kilaza tena kuliko nilivyokuwa nafikiria hapo awali! Eti ume-screenshot kwa kutumia laptop.... bwah! bwah! bwah! bwah! Hivi unatumia laptop kweli wewe???!! Anyway, sina sababu ya ku-edit... ilikuwa ni post #45 angalia kama nimei-edit! Na post yenyewe hii hapa:
diamond anayeingiza milioni 10 zinazoandikwa kwenye magazeti ya shigongo.Mie napigana mwenye porini kutafuta na si kumlamba mtu (_|_) ili niendelee kuishi mjini never.

chige nishakujibu naona marudio tu.
How much does Diamond Platnumz charge per show?

For performances in Tanzania, Diamond charges a small fee of ksh350,000 per show. When he is outside his home country he wont take anything less than ksh2 million per show ($25,000). He was able to make ksh8.5 million ($100,000) for a performance in Kigali Rwanda.
Source: Global Publisher: http://naibuzz.com/2014/04/20/how-much-money-diamond-platnumz-makes/

Likewise:
Diamond has also been able to make millions from endorsement deals with Coca Cola and Vodacom Tanzania. His net worth is estimated to be OVER sh.70 million.
Source: Gazeti La Ijumaa Wikienda: http://www.gutooka.com/see-how-diamond-platnumz-earns-his-millions.html

bwah! bwah! bwah! Yaani ulivyo na akili fupi, na wewe unakurupuka hivyo hivyo chupi kichwani na kusema nime-refer magazeti ya Shigongo na link nimeweka!!!! Yaani ukashindwa kutumia japo akili kidogo tu na kugundua kwamba hizo links zimeandikwa kwa Kiingereza!!! magazeti ya Shigongo yanatumia Kiingereza??? Duh! We jamaa ni kilaza ile mbaya tena ni kilaza kuliko nilivyokuwa nadhania hapo kabla! Halafu bila aibu unasema unatumia laptop!!! Hivi ungekuwa unatumia laptop ungeshindwa kufunguwa hizo links na kubaini kwamba hizo habari hazitoki kwenye magazeti ya Shigongo???!!!! Unatumia laptop au unatumia simu ya kichina ambazo kwa kawaida hazina uwezo wa kufungua links!! Bwah! Bwah! Bwah! Bwah!!!Natangaza kukupuuza rasmi manake hatimae nimegundua napoteza muda na mtu ambae ufahamu wake upo very low! I got no more time to argue with people whose minds are below average!! Bwah! Bwah! Bwah! Bwah! Bwah! View attachment 232875 View attachment 232877 111.jpg 12.jpg 123.jpg Bwah! Bwah! bwah! bwah! bwah! bwah! Consider you're now officially ignored!!
 
Akili yako ndio imeishia hapo,hauwezi kwenda mbele ya hapo,umekazania neno ushirikina kuanzia mwanzo mpaka mwisho,"chale mwilini kibao matozi hawaoni soo? Nai nai kwa uchwawi ndio ngoma ika-hit dar,hiyo mistari iliyowadiss maboss wenu wachawi"

Mmezoea kuonea Timu kiba tu,kazi imeanza,mteteeni boss wenu na vi-tecno vyenu.
hahahahahaaaaa king mfuasi bwana unavituko sana unajua, plzzzz back off for the seek of your own health, ninachokuhakikishia huwezi pambana na team mond, for the one gud reason, wakati nyie mnapambana kwa maneno matupu sisi TUNATENDA, hamuwezi kuwa sawa, najua mmeathirika psychologia hadi nawaonea imani, embu turudi kwenye uhalisia unadai tumenunuliwa vitechno ili tumtete boss wetu, is this possible? unajua ni kwanini wewe ni wakupuuzwa?? rudia kusoma comments zako mwenyewe utajipeleka mirembe mwenyewe, ulianza, dai KASHASHUKA kimziki na ameshajijua, baadae kidogo ukaja, dai lazima aje ASHUKE hata kama sio sasa, ukimaanisha hapo baadae, hukujishtukia wala japo chige alikushtua, unaendelea tu kuvurunda, ukaja mimi sina team sio dai wala kiba (kwanza umeonesha usaliti) lakini hapa nimekuelewa, hata ingekuwa mimi i could do the same, nikiona boss wangu anazidi kuniaibisha no matter how had i trying kumtetea namkana, chaaa chakufia?? nikajua umeamua kupambana na team dai kama mpiganaji binafsi, heeee ghafla huyu hapa tena umerudi, oooh! mmezidi kuionea team kiba, maskini ukaamua zako kurudi kundini, ila nimekuelewa umegungua kupambana na team NO STRESS peke yako hutaweza so imebidi tu u show your side japo wakupe backup.
mnakimsemo chenu wenyewe tumuonee wivu dai kwa kipi,kama pesa tungemuonea wivu bakresa hahahahahaaaa huwa nachekaga na haka kamsemo kenu hamjui tu.
Please guys don't hate get inspired, ivo yani kwani sh ngapi???
 
Mkuu King Kong ebu twende taratibu naona kina chige hawakuelewi inaonekana una hoja pengine..

Ebu tueleweshe sisi pengine tutakuelewa, ebu nisaidia kwa kujibu haya maswali.

Diamond alitupiwa jini na nani? na lilipomkosa likampata mama yake, kwa nini yeye utuambie ndio mshirikina? Yani kwa sababu gani unamwita aliyetupiwa jini mshirikina na aliyemtupia unamwiteje?

Umesema P Squaire walimpa siri ya mafanikio ebu tusaidie kutueleza hiyo SIRI ni hipi? na wewe uliwezaje kuifahamu hiyo SiRI kati ya Diamond na PSquaire ?

Kuhusu kusema alikiri kwenye gazeti la Shigongo ngojea nikupe nukuu alafu unionyeshe alipokiri.....

................."Mama bado yuko kwenye matibabu nchini India na hali yake kusema kweli si nzuri, naomba hapo nisizungumzie sana. Kuhusu masuala ya kutupiwa jini,
mimi namuamini Mungu, naamini mama atapona.
"Inaniuma kila siku ninaposikia watu wanaongea vitu ambavyo si kweli na kwa namna nyingine nashindwa kujibu vitu ambavyo mwenyewe sivijui hivyo yote namwachia Mungu, maana yeye ndiye
jibu la yote."..........

Nipo hapa na Techno yangu line 4 hapa nasubiria majibu yako.
Akitoa majibu ya kueleweka kwa hayo maswali naacha kuingia JF kwa mwezi mzima!!!!!
 
hahahahahaaaaa king mfuasi bwana unavituko sana unajua, plzzzz back off for the seek of your own health, ninachokuhakikishia huwezi pambana na team mond, for the one gud reason, wakati nyie mnapambana kwa maneno matupu sisi TUNATENDA, hamuwezi kuwa sawa, najua mmeathirika psychologia hadi nawaonea imani, embu turudi kwenye uhalisia unadai tumenunuliwa vitechno ili tumtete boss wetu, is this possible? unajua ni kwanini wewe ni wakupuuzwa?? rudia kusoma comments zako mwenyewe utajipeleka mirembe mwenyewe, ulianza, dai KASHASHUKA kimziki na ameshajijua, baadae kidogo ukaja, dai lazima aje ASHUKE hata kama sio sasa, ukimaanisha hapo baadae, hukujishtukia wala japo chige alikushtua, unaendelea tu kuvurunda, ukaja mimi sina team sio dai wala kiba (kwanza umeonesha usaliti) lakini hapa nimekuelewa, hata ingekuwa mimi i could do the same, nikiona boss wangu anazidi kuniaibisha no matter how had i trying kumtetea namkana, chaaa chakufia?? nikajua umeamua kupambana na team dai kama mpiganaji binafsi, heeee ghafla huyu hapa tena umerudi, oooh! mmezidi kuionea team kiba, maskini ukaamua zako kurudi kundini, ila nimekuelewa umegungua kupambana na team NO STRESS peke yako hutaweza so imebidi tu u show your side japo wakupe backup.
mnakimsemo chenu wenyewe tumuonee wivu dai kwa kipi,kama pesa tungemuonea wivu bakresa hahahahahaaaa huwa nachekaga na haka kamsemo kenu hamjui tu.
Please guys don't hate get inspired, ivo yani kwani sh ngapi???
Nilichogundua ni kitu kimoja... huyo jamaa hata hiyo techno yenyewe hana... kelele za bure tu hapa jamvini! Nilim-trick kidogo sana, nimeweka links za mitandao ya Kenya, mmoja naibuzz.com na mwingine gutooka.com lakini nikasema source, Global Publisher na nyingine nikasema Ijumaa Wikienda... lakini ingawaje niliweka links, jamaa akameza jumla jumla kwamba source yangu magazeti ya Shigongo... yaani inaonesha wazi simu anayotumia haina hata uwezo wa kufungua link halafu hapa ajifanye kuponda techno hata kama kweli ningekuwa natumia techno!!
 
Mkuu King Kong ebu twende taratibu naona kina chige hawakuelewi inaonekana una hoja pengine..

Ebu tueleweshe sisi pengine tutakuelewa, ebu nisaidia kwa kujibu haya maswali.

Diamond alitupiwa jini na nani? na lilipomkosa likampata mama yake, kwa nini yeye utuambie ndio mshirikina? Yani kwa sababu gani unamwita aliyetupiwa jini mshirikina na aliyemtupia unamwiteje?

Umesema P Squaire walimpa siri ya mafanikio ebu tusaidie kutueleza hiyo SIRI ni hipi? na wewe uliwezaje kuifahamu hiyo SiRI kati ya Diamond na PSquaire ?

Kuhusu kusema alikiri kwenye gazeti la Shigongo ngojea nikupe nukuu alafu unionyeshe alipokiri.....

.................“Mama bado yuko kwenye matibabu nchini India na hali yake kusema kweli si nzuri, naomba hapo nisizungumzie sana. Kuhusu masuala ya kutupiwa jini,
mimi namuamini Mungu, naamini mama atapona.
“Inaniuma kila siku ninaposikia watu wanaongea vitu ambavyo si kweli na kwa namna nyingine nashindwa kujibu vitu ambavyo mwenyewe sivijui hivyo yote namwachia Mungu, maana yeye ndiye
jibu la yote."..........

Nipo hapa na Techno yangu line 4 hapa nasubiria majibu yako.

hahahahaaaa tupo hapa na techno zetu tunangoja ajibu, i swear hawezi jibu.
 
Wewe jamaa si bure lazima utakuwa mchawi au mganga wa kienyeji maaana unamini sana ushirikina.

Cku zote Mchawi anamjua Mchawi mwenzake kwahiyo huyo jamaa hata ackupe shida
 
Mkuu King Kong ebu twende taratibu naona kina chige hawakuelewi inaonekana una hoja pengine..

Ebu tueleweshe sisi pengine tutakuelewa, ebu nisaidia kwa kujibu haya maswali.

Diamond alitupiwa jini na nani? na lilipomkosa likampata mama yake, kwa nini yeye utuambie ndio mshirikina? Yani kwa sababu gani unamwita aliyetupiwa jini mshirikina na aliyemtupia unamwiteje?

Umesema P Squaire walimpa siri ya mafanikio ebu tusaidie kutueleza hiyo SIRI ni hipi? na wewe uliwezaje kuifahamu hiyo SiRI kati ya Diamond na PSquaire ?

Kuhusu kusema alikiri kwenye gazeti la Shigongo ngojea nikupe nukuu alafu unionyeshe alipokiri.....

.................“Mama bado yuko kwenye matibabu nchini India na hali yake kusema kweli si nzuri, naomba hapo nisizungumzie sana. Kuhusu masuala ya kutupiwa jini,
mimi namuamini Mungu, naamini mama atapona.
“Inaniuma kila siku ninaposikia watu wanaongea vitu ambavyo si kweli na kwa namna nyingine nashindwa kujibu vitu ambavyo mwenyewe sivijui hivyo yote namwachia Mungu, maana yeye ndiye
jibu la yote."..........

Nipo hapa na Techno yangu line 4 hapa nasubiria majibu yako.

Hahahaaa akijibu haya, ntampata zawadi ya simu yenye uwezo wa ku screen short aache kutumia laptop ya kuscreenshort lol !!!!!😂😂😂😂😂. Jana nilimuuliza atuhakikishie bila ukakasi kuwa hayo madai ya kutupiwa jini ni Diamond mwenyewe ndiye aliyepeleka kwa Shigongo, Kwasababu inavyoonekana kutokana na kuugua kwa mama diamond kuna watu wamejitengenezea Stori ili kuhakiki wakampigia diamond ambavyo akajibu kama matumbo alivonukuu hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana kuna kitu sijui mkuu, ngoja niwasome na niendelee kuwasoma vizuri labda tutaenda sambamba.!!!
mkuu idawa, naona umehoji kuhusu hii
tatizo la hapa ni kuhusu mama yake kutupiwa jini na domo kufanya collabo na p-square hapa ndio mzozo ulipoanza.
Hivi majuzi magazeti hapa JF kuliletwa habari moja kuhusu kuumwa kwa mama ake Diamond! According to magazeti ya Shigongo, ni kwamba Diamond alitupiwa jini lakini baada ya kumkosakosa hilo jini likampata mama ake Diamond! Kama hukuiona, hiyo habari inapatikana hapa: https://www.jamiiforums.com/celebri...nd-platinumz-atupiwa-jini-lampata-mamake.html . Ukiisoma hiyo habari, ingawaje King Kong III anadai eti Diamond ndie alifanya interview, kwenye hiyo habari ukisoma utakuta inaodaiwa wametoa hiyo habari ni watu wengine kabisa! You're smart enough, hii ni moja ya nukuu ya hiyo habari:
“Mungu tu hakupenda limpate Diamond lakini inasemekana kwamba jini hilo ni hatari endapo lingempata Diamond kwa jinsi lilivyokuwa, basi pengine leo tungekuwa tunazungumza mengine,”
Sasa ikiwa Diamond ndie alifanya hayo mahojiano, how come tena asema "Mungu tu hakupenda limpate Diamond...!" Hapa hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kabisa kwamba hizo habari zilitolewa na watu wengine! Aidha, according to hiyo habari, mwandishi akampigia simu Diamond ili ku-balance story, hili ndilo lilikuwa jibu lake:
“Mama bado yuko kwenye matibabu nchini India na hali yake kusema kweli si nzuri, naomba hapo nisizungumzie sana. Kuhusu masuala ya kutupiwa jini, mimi namuamini Mungu, naamini mama atapona.“Inaniuma kila siku ninaposikia watu wanaongea vitu ambavyo si kweli na kwa namna nyingine nashindwa kujibu vitu ambavyo mwenyewe sivijui hivyo yote namwachia Mungu, maana yeye ndiye jibu la yote.
Sasa hapa mtu anadai kwamba Diamond ndie alifanya mahojiano na magazet ya Shigongo lakini hapa kauli ya Diamond ndiyo hiyo hapo juu!

Ufinyu wa kufikiri wa King Kong III anamuhusisha Diamond na suala la kumtupia jini mama ake eti kwa ajili ya collabo na P-Square! Huyu hapa:
Hauna ulijualo wewe,upo hapa kishabiki tu kupambana na watu wataotoa maoni hasi juu ya boss wenu.Huyo boss ni zaidi ya vigagula wa geita,muulize shigongo kwanini jini limemkosa likaenda kwa mama yake? Mbona ilo jini limempiga kipindi hiki anapotaka kufanya collabo na p-square.
Hata mtoto wa darasa la nne anaweza kujiuliza, ikiwa issue ni collabo, Diamond amefanya collabo ngapi na wasanii wa nje na kwanini hatukutumia hilo jini wakati wote huo lakini atumie sasa! Kwa kawaida, akili fupi hazina uwezo wa kutumia fursa... anayefuatilia muziki anafahamu ni namna gani Diamond anavyotumia fursa ya kufanya collabo kila anapopata nafasi! mathalani, route za mwaka jana South Africa zilisababisha afanye collabo kibao! Mwaka jana alipoenda kwenye show ya kukabidhi tuzo za CAF nchini Nigeria, akatumia fursa kama alivyofanya SA! Akiwa Nigeria -akakutana na P-Square na kufanya nao collabo! Aidha akapata nafasi ya kukutana na Fally Pupa! Akili fupi zinahusisha suala hilo na habari za kishirikina... kwamba eti kaenda kupewa ushauri wa kumuua mama ake... what a nonsense!!!
 
Last edited by a moderator:
chige I am glad kuona bado kuna watu wameelewa kuhusu hii Stori. Nimeeleza hapo juu kuwa kutokana na kuugua kwa mama diamond kuna watu wamejitengenezea Stori, mwandishi ili kuhakiki akampigia diamond ndipo dai akajibu kama alivonukuu matumbo. Mi napata shida Kuona mtu mzima anashindwa kuelewa hii simple logic. Kweli kusoma kuelewa kukesha bwembwe tu. Bado anajiona ana hoja mweeeeeeh🙆🙆🙆🙆🙆.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chige asante kwa ufafanuzi na kwa Kunipa hiyo link ndio nimeelewa zaidi.

Habari inasema Diamond ndio alitupiwa Jini bahati likamkosa likampata mama yake.

Sasa mkuu King Kong III wewe kuhusu uhusika wa Diamond na hilo jini unautoa wapi ikiwa Diamond ndio Mwathirika.?

Labda kama una chanzo kingine kudhibitisha tuhuma zako.

Hata kama ishu ni collabo na P-square, kwani na Dovido, Alade na Wengineo alitupiwa nani jini?

Inawezekana ndio unaujua uchawi wa Diamond, lakini chanzo chako cha habari kinakukanusha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom