magistergtz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 282
- 56
Hapo kwenye Afrika Mashariki kati na Kusini tuwie radhi mkuu..
Kwa mara ya kwanza, msanii nyimbo za msanii Diamond my number one, original na remix yake zinachezwa ktk television ya STV Music ya Startimes. Chanel hii hucheza nyimbo za kimataifa tu, na kwa sasa nyimbo hizi za Diamond ndo pekee zinazochezwa kutoka eneo la Africa ya Mashariki, Kati na Kusini. Ni mara ya pili kwa nyimbo za Watanzania kuchezwa ktk Chanel hii baada ya nyimbo moja ya AY kuchezwa huko miaka kadhaa nyuma. Hongera Diamond kwa kuitangaza nchi yetu.
Masogange na Jackie cliff
wameisha itangaza nchi yetu, tena tumefahamika vizuri, sasa sijui
diamond atatutambulisha kwa lipi, wakati Jackie cliff kaitambulisha vya
kutosha tena kimataifa..