Diamond Platinum aibuka ktk world class hits

Diamond Platinum aibuka ktk world class hits

magistergtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
282
Reaction score
56
Kwa mara ya kwanza, msanii nyimbo za msanii Diamond my number one, original na remix yake zinachezwa ktk television ya STV Music ya Startimes. Chanel hii hucheza nyimbo za kimataifa tu, na kwa sasa nyimbo hizi za Diamond ndo pekee zinazochezwa kutoka eneo la Africa ya Mashariki, Kati na Kusini. Ni mara ya pili kwa nyimbo za Watanzania kuchezwa ktk Chanel hii baada ya nyimbo moja ya AY kuchezwa huko miaka kadhaa nyuma. Hongera Diamond kwa kuitangaza nchi yetu.
 
Hapo kwenye Afrika Mashariki kati na Kusini tuwie radhi mkuu..
 
Kwa mara ya kwanza, msanii nyimbo za msanii Diamond my number one, original na remix yake zinachezwa ktk television ya STV Music ya Startimes. Chanel hii hucheza nyimbo za kimataifa tu, na kwa sasa nyimbo hizi za Diamond ndo pekee zinazochezwa kutoka eneo la Africa ya Mashariki, Kati na Kusini. Ni mara ya pili kwa nyimbo za Watanzania kuchezwa ktk Chanel hii baada ya nyimbo moja ya AY kuchezwa huko miaka kadhaa nyuma. Hongera Diamond kwa kuitangaza nchi yetu.

Mkuu uwe unaongea bila mapenz kwa mtu,,,hongera kwa Diamond kijana anajitahidi!
 
Safi sanaaa hakuna kurembaa hakuna cha prezo wala naniii mbafu kabisaa
 
Masogange na Jackie cliff wameisha itangaza nchi yetu, tena tumefahamika vizuri, sasa sijui diamond atatutambulisha kwa lipi, wakati Jackie cliff kaitambulisha vya kutosha tena kimataifa..
 
Kutoka AFRIKA MASHARIKI nadhani ndugu yangu ulifungua channel kwa mara ya kwanza na kukuta hiyo nyimbo ikionyeshwa.Vipi kuhusu Camp Mulla,Stella Mwangi?
Pitia tena makabrasha yako mkuu kabla hujaandika mapenzi binafsi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Masogange na Jackie cliff
wameisha itangaza nchi yetu, tena tumefahamika vizuri, sasa sijui
diamond atatutambulisha kwa lipi, wakati Jackie cliff kaitambulisha vya
kutosha tena kimataifa..

Kichwa maji weweee nawee,wivu tu
 
Back
Top Bottom