Watu wambeya mngetaja hotel zenu kali tukazijua. acheni kunungunika nendeni front mkalaumu
hata mimi mbeya sienda.mkoa mzima kuna lifti moja tu ya kwenye ghorofa na tena imezinduliwa mwaka huu
hata mimi mbeya sienda.mkoa mzima kuna lifti moja tu ya kwenye ghorofa na tena imezinduliwa mwaka huu
Nimecheka mno mkuu
Kama ungekua umesoma geography vizuri ..hakuna cha kucheka hapo..by then technology ilikua hovyo sasa..technology imeadvance ndo maana watu wameruhusiwa kujenga zaid yaghorofa tatu pale mbeya..
watu uuwa wanapoteza mashabiki hivi hivi. mi kwa vile katukana skani nafuta makitorondo yake kwenye pc yangu.Ivi pale Sinza anapoishi napo pana hadhi kama hotel ya nyota 5?
Vijana tuna shida mweeeee namkumbuka mzee wa kidali poo alisemaga bia ni heineken pekee hawezi kunywa maji taka ambayo anayaona yakitengenezwa pale Ilala akasema bia yake inatoka Belgium na ina chata kua ni imported naamini leo viroba na mbuyu wa safari vinamuhusu sana.