Diamond Platinum aziponda Hotels za Mbeya

Diamond Platinum aziponda Hotels za Mbeya

Walikuwepo wengi lakini wako wapi? Gemu linawapandisha na gemu hilohilo linawashusha kwa hiyo sioni ajabu
 
alisema lini? wapi? na alikuwa anahojiwa na nani? source ya bandiko lako ni ipi? kama huwezi kunipa hayo majibu basi huo ni uzushi tuu fatilieni kwanza habari sio kuja kudanganya watu na kutengeneza chuki zisizo na msingi
 
hahaha! kweli mbeya kaizarau. angekuwepo humu ningemuliza alivyo enda Tabora alifikia hoteli gani
 
Watu wambeya mngetaja hotel zenu kali tukazijua. acheni kunungunika nendeni front mkalaumu

Ni kweli. Angalau alipofika Mtwara huyo huyo dogo Naseeb Abdul alipiga picha ya NAF BEACH HOTEL na kuisifia. Ukitafuta kwenye blog yake ya WASAFI BLOG halafu ukaweka jina la hotel utaziona picha zake akiwa Mtwara. Sasa kwa hadhi ya Jiji la Mbeya ni vizuri wadau wa Mbeya mukaweka picha!
 
Kama ungekua umesoma geography vizuri ..hakuna cha kucheka hapo..by then technology ilikua hovyo sasa..technology imeadvance ndo maana watu wameruhusiwa kujenga zaid yaghorofa tatu pale mbeya..

mwhaaombah
 
Ivi pale Sinza anapoishi napo pana hadhi kama hotel ya nyota 5?
Vijana tuna shida mweeeee namkumbuka mzee wa kidali poo alisemaga bia ni heineken pekee hawezi kunywa maji taka ambayo anayaona yakitengenezwa pale Ilala akasema bia yake inatoka Belgium na ina chata kua ni imported naamini leo viroba na mbuyu wa safari vinamuhusu sana.
 
watu uuwa wanapoteza mashabiki hivi hivi. mi kwa vile katukana skani nafuta makitorondo yake kwenye pc yangu.
 
Back
Top Bottom