Diamond Platinum aziponda Hotels za Mbeya

Hili povu linakiwango kizuri naweza fulia Hata blanket
 
Watu wa MBEYA wanaona kila kitu Wanajua.... kumbe hamna lolote na kaptura zao za ZAMBARAU.
 
Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?

Je huko analala hotel gani?

Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?
Kasulu ipo Ndituye Highway Hotel, Kasulu Motel, Nyantare Hotel, yaani hizo ni hatari kama Ulaya tu
 
Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?

Je huko analala hotel gani?

Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?

Yuko sahihi
 
Kiukweli mbeya sijaona hotel ya maana labda hiyo alofungua sugu maana sijafika kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…