Diamond Platinum aziponda Hotels za Mbeya

Diamond Platinum aziponda Hotels za Mbeya

He is correct. Mbeya wanalazimishaga kusifiwa wakati hawako tayari kujifunza kwa watu wengine masuala ya maendeleo. Ni watu primitive and too much conservatives. Mbeya hakuna hoteli ya maana hata chembe. The man is right. Lakini pia hakuna hata recreation points. Ni majivuno, uwongo, umbea, wivu, ukabila, uchawi na ufusika - MWISHO!

Angalia hata wewe unachokifanya hapa. Ungelikuwa unapenda kweli, ungeulizia na kuomba ushauri nini mbovu, na kisha ukawashauri hao wa kukaja, namna ya kuboresha mambo. Angalia hata uwanja wa ndege wa songwe kama kiwanja cha kuchezea ngoma wakati wa mavuno!.

Kwanza unatia hofu kubwa sana mtazamo wako juu ya maendeleo. Hivi kweli unaweza kulinganisha mbeya ambayo imepewa hadhi ya jiji kwa kulazimisha kwenu na kasulu ambayo ni ka wilaya tu?

Mbeya hakuna kitu hadi mtakapokubali kwamba mko chini na mhnahitaji mawazo mapya kutoka kwa wageni.
Hili povu linakiwango kizuri naweza fulia Hata blanket
 
Watu wa MBEYA wanaona kila kitu Wanajua.... kumbe hamna lolote na kaptura zao za ZAMBARAU.
 
Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?

Je huko analala hotel gani?

Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?
Kasulu ipo Ndituye Highway Hotel, Kasulu Motel, Nyantare Hotel, yaani hizo ni hatari kama Ulaya tu
 
Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?

Je huko analala hotel gani?

Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?

Yuko sahihi
 
Kiukweli mbeya sijaona hotel ya maana labda hiyo alofungua sugu maana sijafika kuona
 
Back
Top Bottom