Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Nazjaz unaitwa uje uthibitishe kauli yako, hatutaki maneno ya uzushi uzushi. Au una personal issues na Domo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hapa hawezi kulala?
![]()
Kutokana na hali ya kijiografia,jiji la mbeya haliwezi kujengwa migorofa ya kutisha as bonde la ufa limepita pale so sishangai kuona kuna jengo moja tu lenye lifthata mimi mbeya sienda.mkoa mzima kuna lifti moja tu ya kwenye ghorofa na tena imezinduliwa mwaka huu
Dogo amelewa sifa...Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?
Je huko analala hotel gani?
Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?
Ni utoto utakuwa unamsumbua! Pengine sikutegemea kwa nafasi yake na biashara anayo Fanya hakutakiwa kujiingiza kwenye mkumbo wa kuongea mambo yanayo weza kuharibu biashara yake!
Kwakweli si kila kitu ni chakusema! Hapa ndio Nana umuhimu wa wasanii kuwa na watu ambao wanajua kushauri hasa kipi cha kusema na kisicho cha kusema hasa kama unategemea mashabiki kuingiza pesa!
Si kweli Mbeya kunakosekana hotel ya kukaa Diamond na hii haiwezi kuwa kweli! Diamond hawezi kuwa na hadhi kuzidi mawaziri wanao kwenda kila Leo na kupata pa kulala!
Huu ni utoto tuu!
alisema lini? wapi? na alikuwa anahojiwa na nani? source ya bandiko lako ni ipi? kama huwezi kunipa hayo majibu basi huo ni uzushi tuu fatilieni kwanza habari sio kuja kudanganya watu na kutengeneza chuki zisizo na msingi
Wema habari yako
Akija kasulu ,halali kasulu analala Kigoma,lake Tanganyika hotel(4 star hotel) ambayo najua mbeya hakuna coz mi mwenyewe nko mbeya Rufaa juu ya solo matolaNilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?
Je huko analala hotel gani?
Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?
amesema ukweli. hotel nzuri ni ile lodge ya sugu ambayo nay ni ya hali ya chini sana. zingine zipi, tutajieni, mbeya hakuna hotel wala lodge nzuri, hazipo.Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?
Je huko analala hotel gani?
Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?
Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?
Je huko analala hotel gani?
Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?
Kama ungekua umesoma geography vizuri ..hakuna cha kucheka hapo..by then technology ilikua hovyo sasa..technology imeadvance ndo maana watu wameruhusiwa kujenga zaid yaghorofa tatu pale mbeya..
Taja basi hizo hotel ambazo zipo siyo kulalamika hapa.Nilihuzunika sana Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yeye yenye hadhi yakufikia.
Kwanini ametudharau hivyo? Nayeye wa kwanza kuimba anatoka Mbagala.
Je hapigi show vijijini?
Je huko analala hotel gani?
Je Kasulu na Mbeya wapi kuna hotel nzuri?