Diamond platinumz achukua nafasi ya taifa stars

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Angalau Jina la Tanzania litatajwa mwaka huu kwenye michuano ya AFCON inayofanyika nchini Gabon.

Msanii diamond atatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo, huku wenyeji Gabon wakichuana na Guinea Bissau.

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars ilishindwa kufuzu michuano hiyo.
 

We unafaidika na nini hapo
 
Hongera zake kijana,vp parfomance yake ya jana huko aliko tumbuiza mambo yaliendaje kwa waliobahatika kuangalia?
 
We unafaidika na nini hapo[/QUOTE
Tanzania kutajwa ktk halaiki ya watu km hivi "Ladies and Gentleman the artist from Tanzania Diamond Platinum is here to open the challenge are you reeeeeeeedyyyyyyyy"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…