Diamond platinumz achukua nafasi ya taifa stars

Diamond platinumz achukua nafasi ya taifa stars

Blaaw blaaa blaaa sitaki kusikia ,simba ananguruma ndani ya afcon haaaaaaaa
 
Aende bukoba kwa warangira akachukue ma stage show , wakiwa na mavazi yao ya asili , wale wanaozungusha kiuno kama tairi la gari, asiende kutuaibisha na hivyo vijamaa vyake vinavyovaa suruali mlegezo na kurukaruka, apeleke utamaduni halisi wa huo wimbo. Kama vipi awatafute warangira wamshauri kwa hilo
 
Inamaana Watu zaidi Ya Elfu 40 watamuona diamond live? Na watu zaidi ya Millioni ngapi watamuona Kupitia Luninga? Diamond anaperform Mara ya Piliii duuuuu shikamoo diamond
Ameshashikemo hujaona tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
madam skendo anajutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................
 
Halafu nimeona kwenye page ya afcon wameandika diamond ni king of bongo flava. Wanamkosea sana yule aliyejiita king kishabiki.
 
Me nashangaa sn wanapomfananisha mond na eti sijui darasa na kiba hv hawa watu walikuwa wapi siku zote mpaka leo wajifananishe na mond!! kwanza ni aibu sn kwao...... chibu ndo best hilo halina mjadala..... go go daimond
 
Back
Top Bottom