kisanganyakiswata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,299
- 552
Dangote noma sanaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo,nayo biashara.wengine mbona wameshindwa.haters watasema kanunua show
You made my daySio habari ya kusisimua.
Jana alifanya show mbovu...Watanzania wote tunaonekana vilaza Kwa ajili yake
Ameshashikemo hujaona tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inamaana Watu zaidi Ya Elfu 40 watamuona diamond live? Na watu zaidi ya Millioni ngapi watamuona Kupitia Luninga? Diamond anaperform Mara ya Piliii duuuuu shikamoo diamond
Anamzidi kingkibakuli?????Diamond ndie mwanamuziki mwenye akili kuliko mwanamuziki yeyote Bongo.
"Hizo blaah blaah sitaki kusikia"Amshike mkono na Darassa basi.