Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan hapa nilikuwa nawaza hyo surual , nimefurah na ww umewaza mule mule, surual km sindanoSuruali yake kwani vipi!! Alikosea akachukua ya Zari???!
mm niliogopa kusema nitaoneka mshamba , bora mkuu umelisema hiloDuh... Hizi pamba alizotupia nimejikuta nacheka tu.... Hivi nyie vijana, kwanini mnavaa nguo za wadogo zenu kwani size yenu hakuna?
nimecheka kwa nguvuDomo kavaa skin tight ya tifa
Maumivu yakizidi muone daktariTunataka Taifa stars ndio iwakilishe si wavaa suruali za kubana kama dada zao.... Huyu nepi akili hana unatoa vp bendera
Nilipenda alivomkaribisha nyumbani kwa madibaKupitia Diamond hatimae leo Shaffii Dauda Anashikana mkono na Rais wa Gaboni na Akon!
Nani alikuambia heleni mavazi ya kike tatizo umezaliwa ukiona hivyo, Tulia jaribu kufanya analysis, Hata wanawake kuvaa suruali sio kosa ni uamuzi Tu, Je kuna tofauti kati ya kanzu na madela muundo ni ule ule, Mmeshikilia tamaduni za ajabu sana, Badilikeni dunia inabadilika, Nyie ndio wale mnaowaambia watoto wenu watafute magari yao wakati Nyumban yapo kumihuyu kisha potea , hizo fashion zake, nywele, tattoos na hereni karibu utasikia mengine ya tabia mbaya - hizi ndio huwa dalili za kuelekea huko
Wewe kama una likitambi huwezi vaa nguo nzuri, hakuna nguo nzuri kwa mtu mwenye tumbo kubwa, utaishia kulalamika, kaka punguza tumbo hizo nguo utavaaDuh... Hizi pamba alizotupia nimejikuta nacheka tu.... Hivi nyie vijana, kwanini mnavaa nguo za wadogo zenu kwani size yenu hakuna?
Ulitaka avae kama wewe nguo pana kama pipa, upepo ukivuma linapepea, Kila kitu na wakati wake, Hivi bado unavaa suruali za kukunja chini nini wewe na marinda juu ni ushamba huo waachie above 60Domo kavaa skin tight ya tifa
Nadhani hicho kisuruali alichokivaa akitaka kuvua inabidi akae kitandani then rayvan/rich mavoko amsaidie kukivuta juu ili akivue la sivyo hakivuliki aisee.
Kiba alikuwa Ukerewe anazindua Furu cup