Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Tunataka Taifa stars ndio iwakilishe si wavaa suruali za kubana kama dada zao.... Huyu nepi akili hana unatoa vp bendera
 
Dah acheni ubishi jamani huyu jama hatapataga mpinzani bongo
 
Mbona amevaa kakoti ka ki manzi?au fashion
 
Nadhani hicho kisuruali alichokivaa akitaka kuvua inabidi akae kitandani then rayvan/rich mavoko amsaidie kukivuta juu ili akivue la sivyo hakivuliki aisee.
 
Daaa Davido hivi yupo? Naona hata kwenye picha anapiga kiwizi wizi kama yupo hayupo vilee
 
Kupitia Diamond hatimae leo Shaffii Dauda Anashikana mkono na Rais wa Gaboni na Akon!
 
Ila braza Chibu anapenda watoto check alivowahold tight nimependa kwakwel
Barikiwa sana kwa hilo
 
huyu kisha potea , hizo fashion zake, nywele, tattoos na hereni karibu utasikia mengine ya tabia mbaya - hizi ndio huwa dalili za kuelekea huko
Nani alikuambia heleni mavazi ya kike tatizo umezaliwa ukiona hivyo, Tulia jaribu kufanya analysis, Hata wanawake kuvaa suruali sio kosa ni uamuzi Tu, Je kuna tofauti kati ya kanzu na madela muundo ni ule ule, Mmeshikilia tamaduni za ajabu sana, Badilikeni dunia inabadilika, Nyie ndio wale mnaowaambia watoto wenu watafute magari yao wakati Nyumban yapo kumi
 
Duh... Hizi pamba alizotupia nimejikuta nacheka tu.... Hivi nyie vijana, kwanini mnavaa nguo za wadogo zenu kwani size yenu hakuna?
Wewe kama una likitambi huwezi vaa nguo nzuri, hakuna nguo nzuri kwa mtu mwenye tumbo kubwa, utaishia kulalamika, kaka punguza tumbo hizo nguo utavaa
 
13 January 2017

Libreville, Gabon



Source: Diamond Platnumz
 
Domo kavaa skin tight ya tifa
Ulitaka avae kama wewe nguo pana kama pipa, upepo ukivuma linapepea, Kila kitu na wakati wake, Hivi bado unavaa suruali za kukunja chini nini wewe na marinda juu ni ushamba huo waachie above 60
 
Nadhani hicho kisuruali alichokivaa akitaka kuvua inabidi akae kitandani then rayvan/rich mavoko amsaidie kukivuta juu ili akivue la sivyo hakivuliki aisee.

Kweli ujinga ni janga la Taifa wewe unajadili mavazi miaka hii, hivi Dada yako akivaa kimini kwa mumewe utamkataza au utaanza kumtamani ? Nendeni na wakati, kama mwili mkubwa punguza uvae nguo nzuri sio unavaa nguo kama una mimba ya panya tumbo hilo nyie wanaume mnaojadili mavazi
Kiba alikuwa Ukerewe anazindua Furu cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…