Ingawa sasa sekta ya mataifa huru ya afrikaSi kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
Kupenda kubayaRais wa Gabon kaomba kupiga picha na Diamond[emoji1549][emoji1549]
Kupenda kubaya
Na davido je
Akon je
Na hao watoto je kulemba sana unaweza haribu kila kitu ukaonekana mjinga
Hakuna siku anaongelewa dai bila kiba kwani wasanii wako wawili hapa tz ?!! Ndio maana hata timu ya taifa mnamtegemea samata kuanzia golini mpk kumi na moja mnakela ujueKiba kaenda ndondo cup
Wera wera weraaaaa weraaaaaSi kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
"Rais wa gabon akiwa na mwanamuziki akon na baadhi ya waimbaji kutoka nchi mbali mbali"Haijalishi wanakuhusu au hawakuhusu lakini uhalisia wa picha ndivyo ulivyo tofauti na unavyolazimisha kuipa hayo maelezo yako
Samahani but hako ka-jeans hua anavaaje?View attachment 459621
Diamond Platinumz akiwa na Rais wa Gabon Ali Bongo Odimba
View attachment 459622
View attachment 459623
Mtaishia kurekebisha tu vichwa vya habari...!Usahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
Kiba huyo MkuuMtaishia kurekebisha tu vichwa vya habari...!
Aliyepost hawajui wengine haoUsahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
Unamaanisha wale wa Kaunda suit wanavyokimbiza gari ya ...Gabon kumbe mambo ni shwari maana hatuoni walinzi wa rais wao wakizunguka zunguka kama wanachunga mbuzi.
Duh!wewe mwenye akili unayevaa suruali pana mbona hujapewa? siajabu bado unakaa kwa shemeji yako
Dada Mumba Daly ulichokerwa nacho ni kutajwa DIAMOND tu huna lolote,maana kama ni kutokutajwa kwa wengine,basi wewe ungetutajia na hao wengine majina yao. KUMBUKA DIAMOND KAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA,KWA MAANA ANAIWAKILISHA TZ,UMEPENDA AU HUJAPENDA NDIO IMESHAKUWA HIVO.Usahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
Kwa hiyo hapo alivaa hicho kisuruali kwa ajili ya mumewe au?Kweli ujinga ni janga la Taifa wewe unajadili mavazi miaka hii, hivi Dada yako akivaa kimini kwa mumewe utamkataza au utaanza kumtamani ? Nendeni na wakati, kama mwili mkubwa punguza uvae nguo nzuri sio unavaa nguo kama una mimba ya panya tumbo hilo nyie wanaume mnaojadili mavazi
Cheki povu unalolitoa mtoto wa kike,haya tutajie majina ya wote hao walioko kwenye picha ........ (ukishindwa nakuoa bila kulipa mahari)Haijalishi wanakuhusu au hawakuhusu lakini uhalisia wa picha ndivyo ulivyo tofauti na unavyolazimisha kuipa hayo maelezo yako
Dada bado nipo nawewe, usipotutajia MAJINA YA HAO WOTE WALIOKO KWENYE HIYO PICHA,BASI LEO NITAKUOA BILA KULIPA HATA MIA KWA WAZAZI WAKO.Maana kwa akili za kawaida si rahisi kutaka kuanzisha malumbuno yasiyohusika kwa vile tu mtu amekuwa na mtizamo hasi dhidi ya kile unachokiona wewe ndio sawa