Diamond Platinumz Amerudiana Na Wema Sepetu Kwa Mara Nyingine

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Diamond na Wema Sepetu kwa mara nyingine wamerudiana rasmi. Tukio hili lilijiri pale Leaders Club ambapo Diamond alimuintroduce demu wake kwa mashabiki wake...

Aliwashangaza wengi baada ya Wema Sepetu kujitokeza kwa jukwaa kama mpenzi wake.

Wawili hao walitabasamu kwa vicheko huku wakicheza nyimbo ya 'My Number One'

Pendo la wawili hao litadumu kweli?!?

Chanzo Diamond Platinumz Na Wema Sepetu Wamerudiana Kirasmi - bkuHABARI
 
Attachments

  • iview1.jpg
    11.5 KB · Views: 1,765
namuonea huruma diamond coz wema ni KAHABA anayeangalia how weight of your wallet is? na hana mapenzi ya kweli huyo KAHABA,CHANGUDOA,WALI WA HARUSI anatafuta antetion ya vyombo vya habari!!!!!
 
Hongera zao mi naipenda sana couple yenu,mtulie sasa mjenge family
 
Kusema kweli yaijulikani wawili hao watafikia wapi...twangojea hao wadada wengine waanze kupiga makelele
 
I truly like this couple, that is Wema and Diamond Platinum. Kiukweli Diamond and Wema are really artists...!!!!!
 
I truly like this couple, that is Wema and Diamond Platinum. Kiukweli Diamond and Wema are really artists...!!!!!
Aiseeh!! Me2
 
Attachments

  • image.jpg
    19.8 KB · Views: 1,307
  • image.jpg
    23.1 KB · Views: 1,349
I truly like this couple, that is Wema and Diamond Platinum. Kiukweli Diamond and Wema are really artists...!!!!!

Ukitaka kujua wengi wa wanawake wa kibongo uwezo wao wa kufikiri hata kama wamesoma tazama reaction yao linapokuja suala la Diamond na Wema na yule mke wa mzungu mwenye unnecessary show offs,labda ni uhaba wa role models
 
Waacheni na maisha yao,wanahaki ya kufanya hayo wayafanyayo.
 
Duh Diamond kakubali ku share mwanamke,aaaaaaaaaaahhhhhh aiseee kwel Tz kiboko, ebu tafuta Interview ya Diamond ktk Spora Show, alielezea ni jinsi gani Wema malaya, na akasema ile nyimbo nataka KULEWA IMEMUONGELEA WEMA, sasa leo Kamrudia malaya wake sio mbaya.
 
Ukitaka kujua wengi wa wanawake wa kibongo uwezo wao wa kufikiri hata kama wamesoma tazama reaction yao linapokuja suala la Diamond na Wema na yule mke wa mzungu mwenye unnecessary show offs,labda ni uhaba wa role models

Duh.....kuna family ya wazazi kama hawa....?yan baba na mama wote hot......nauliza tu...
 
Ni mbaya sana......tena sana
 
Ukitaka kujua wengi wa wanawake wa kibongo uwezo wao wa kufikiri hata kama wamesoma tazama reaction yao linapokuja suala la Diamond na Wema na yule mke wa mzungu mwenye unnecessary show offs,labda ni uhaba wa role models

Ninahisi kuna malaika wanaocomment humu! Wema na Diamond ni binadamu. Mi nadhani kinachowaponza Wema na Diamond ni kuwa mahusiano yao yanafuatiliwa na kuripotiwa.
Jamani kuna mtaalamu aliwahi kusema postures zinaongea zaidi ya maneno. Ni ukweli usiopingika kuwa Couple hii jamani ni nzuri na wanaonekana wanapendana! Uzuri kugundua watu wanapendana hakuhitaji Degree! Kwa macho tu inaonekana hata watoto ambao kutokana na umri wao level zao za elimu si kubwa na hawana experience ya kutosha walionyesha kuipenda couple hii, pale leaders club. Kuwaombea waoane waanzishe na kuendeleza familia yao na fani zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…