Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mewnzetu unatafsirije. Waache Wema na Diamond, wote wawili hawana wenzi (Mume/ Mke) na wanaweza kuwa couple nzuri wakioana kama Beyonce na Mume wake!Walewale una tafsiri vipi kupendana?
Unnecesary show off?nchi ya democrasia hii kila mtu ana uhuru,we kama mtu anakuboa mpotezee ucmfuatilie,mwache aish maisha yake nawe ishi yako uliyoyachaguaUkitaka kujua wengi wa wanawake wa kibongo uwezo wao wa kufikiri hata kama wamesoma tazama reaction yao linapokuja suala la Diamond na Wema na yule mke wa mzungu mwenye unnecessary show offs,labda ni uhaba wa role models
We mewnzetu unatafsirije. Waache Wema na Diamond, wote wawili hawana wenzi (Mume/ Mke) na wanaweza kuwa couple nzuri wakioana kama Beyonce na Mume wake!
Tuwaache wafanye yao wanajuana wenyewe..tunayetu meng tu yanatushnda na hatupend kuingiliwa ivo tuwaache wanaelewana wenyewe
namuonea huruma diamond
coz wema ni KAHABA anayeangalia how weight of your wallet is? na hana
mapenzi ya kweli huyo KAHABA,CHANGUDOA,WALI WA HARUSI anatafuta antetion
ya vyombo vya habari!!!!!
Ukitaka kujua wengi wa
wanawake wa kibongo uwezo wao wa kufikiri hata kama wamesoma tazama
reaction yao linapokuja suala la Diamond na Wema na yule mke wa mzungu
mwenye unnecessary show offs,labda ni uhaba wa role models
MimiDiamond amebugi kweli,wema ni bingwa wa kusagana bingwa wa kubadilisha mabuzi namuonea huruma domo
Diamond na Wema Sepetu
kwa mara nyingine wamerudiana rasmi. Tukio hili lilijiri pale Leaders
Club ambapo Diamond alimuintroduce demu wake kwa mashabiki wake...
Aliwashangaza wengi baada ya Wema Sepetu kujitokeza kwa jukwaa kama
mpenzi wake.
Wawili hao walitabasamu kwa vicheko huku wakicheza nyimbo ya 'My Number
One'
Pendo la wawili hao litadumu kweli?!?
Chanzo
Diamond
Platinumz Na Wema Sepetu Wamerudiana Kirasmi - bkuHABARI
Mimi
Acha wivu wewe, mbona unapenda kuchafua wengine? yako mbona hatusemi? Wema na Diamond ni watu wazima na akili zao....maisha ni mafupi sana, baadae tutakufa!!! Let them enjoy and leave them only. Watz kwa wivu balaaaaaaaaa. .
Husinichekeshe,nimuonee wivu kwa kua anasagana?