naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Ninahisi kuna malaika wanaocomment humu! Wema na Diamond ni binadamu. Mi nadhani kinachowaponza Wema na Diamond ni kuwa mahusiano yao yanafuatiliwa na kuripotiwa.
Jamani kuna mtaalamu aliwahi kusema postures zinaongea zaidi ya maneno. Ni ukweli usiopingika kuwa Couple hii jamani ni nzuri na wanaonekana wanapendana! Uzuri kugundua watu wanapendana hakuhitaji Degree! Kwa macho tu inaonekana hata watoto ambao kutokana na umri wao level zao za elimu si kubwa na hawana experience ya kutosha walionyesha kuipenda couple hii, pale leaders club. Kuwaombea waoane waanzishe na kuendeleza familia yao na fani zao!
Walewale una tafsiri vipi kupendana?